Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi na ya kutoka Dar hayapiti. Hamna anayetuambia shida ni nini. Aliye na taarifa za uhakika atujuze. Natanguliza shukrani