Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

Hiyo barabara aisee kuna siku wananchi walifunga barabara kuna mtoto aligongwa na gari, polisi walikuja wakachemsha, tulikaa hapo 4hrs aisee..
 
Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi na ya kutoka Dar hayapiti. Hamna anayetuambia shida ni nini. Aliye na taarifa za uhakika atujuze. Natanguliza shukrani
WAnaKomaa na CHADEMA
 
Back
Top Bottom