Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Haya ni mambo ya kawaida sana ila wewe ni mara yako ya kwanza kukukuta, huenda kuna wakati barabara inapumzishwa kama ifanyikavyo mpirani, si unajua ligi za madereva barabarani.Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi na ya kutoka Dar hayapiti. Hamna anayetuambia shida ni nini. Aliye na taarifa za uhakika atujuze. Natanguliza shukrani
Acha ubahili uwe unasafiri.na ndegeWadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi na ya kutoka Dar hayapiti. Hamna anayetuambia shida ni nini. Aliye na taarifa za uhakika atujuze. Natanguliza shukrani
Hakuna ndege ya kutoka Nairobi kwenda KataviAcha ubahili uwe unasafiri.na ndege
Nairobi Hadi Katavi Kwa Basi utavunjika nyonga
Angani hakuna foleni ya ndege
Ungeanda ndege kutoka Nairobi hadi DarHakuna ndege ya kutoka Nairobi kwenda Katavi
Hakuna ndege ya kutoka Nairobi kwenda Katavi
[/QUOTE
Kwani Katavi hakuna foleni?
Hakuna hata basi la kuunganisha miji mikuu Nairobi na Dodoma?Hakuna ndege ya kutoka Nairobi kwenda Katavi
Ilikuwa saa 9:30 usiku hadi saa 11:00 alfajiri.Kwa muda gan ss magari hayatembei mkuu
Barabara imeomba maji?Haya ni mambo ya kawaida sana ila wewe ni mara yako ya kwanza kukukuta, huenda kuna wakati barabara inapumzishwa kama ifanyikavyo mpirani, si unajua ligi za madereva barabarani.
Hakujawahi kuwa na jibu kwanini barabara ilifungwa.Barabara imeomba maji?
Ndege zipo Nairobi hadi Dar, KIA, na Zanzibar, hakuna ndege ya Nairobi kwenda Dodoma. Vilevile hakuna bus la Dar kwenda Nairobi. Ndege kutoka Dar kwenda Mpanda ni mara tatu kwa wiki, na mara nyingi huwa zinaahirishwa.Hakuna hata basi la kuunganisha miji mikuu Nairobi na Dodoma?
Zimewahi kuahirishwa lini?Ndege zipo Nairobi hadi Dar, KIA, na Zanzibar, hakuna ndege ya Nairobi kwenda Dodoma. Vilevile hakuna bus la Dar kwenda Nairobi. Ndege kutoka Dar kwenda Mpanda ni mara tatu kwa wiki, na mara nyingi huwa zinaahirishwa.
Kwa sasa hali ya kiuchumi siyo nzuri, ngoja nikishavuna mshindi yangu na kuuza nitapanda ndege hadi kigoma hslafu nipande MV Liemba inivushe hadi Lubumbashi niingie Congo DRC kufanya utalii wa ndani.Ungeanda ndege kutoka Nairobi hadi Dar
Kisha ungechukua ndege nyingine toka Dar hadi uwanja ndege wa Katavi mbona zipo kibao
Acha ubahili
Maisha ndio haya haya sio kila hela unawaza Tu Ku save upate tofali za kujenga nyumba