Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo la qchief hajui mziki anawaimbia akina nani. Bongo haihitaji r&b ya kimbele mbele sana inahtaji mtu aimbe simple r&b zile za kmbelembele wabongo watabaki kusema daah jamaa anajua sana lakini show hapati na wala haiti.
We huoni mfano wa wimbo wa i am not a flirt wa k-lyne ulikuwa kimbele sana
mimi bado sijamuelewa Q-chief kwani na yeye amelogwa na diamond maana kwenye internterview na XXL,alilamika kuwa kuna mtu( eti diamond) anatumia nyota yake!
mimi bado sijamuelewa Q-chief
kwani na yeye amelogwa na diamond maana kwenye internterview na
XXL,alilamika kuwa kuna mtu( eti diamond) anatumia nyota yake!
wote wachawi tu, huyo diamond mwenyewe, anaimba utumbo tu lakini anapiga mawe mbaya!
mimi bado sijamuelewa Q-chief kwani na yeye amelogwa na diamond maana kwenye internterview na XXL,alilamika kuwa kuna mtu( eti diamond) anatumia nyota yake!
Huyu ana jihusisha na waganga kabisa ndoa wao muharibia, swala la nyota emelijuaje!
Q-chief kapoteza matumaini.
mwizi sana uyu qchila wenu,mwambieni asilete kujuana tutamkanyaga....njaa gani hadi indicator!!