Kuna nini kati ya q-chief na diamond?

Kuna nini kati ya q-chief na diamond?

Defio

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
24
Reaction score
3
mimi bado sijamuelewa Q-chief kwani na yeye amelogwa na diamond maana kwenye internterview na XXL,alilamika kuwa kuna mtu( eti diamond) anatumia nyota yake!
 
huyo q chief atakuwa mzushi, kuna kipindi alidai amelogwa na tid, leo tena diamond!!!
 
Uyo kasha bumaa sikunyingi anatafuta pakutokea . Kah mtu ukifulia bna dah.
 
tatizo la qchief hajui mziki anawaimbia akina nani. Bongo haihitaji r&b ya kimbele mbele sana inahtaji mtu aimbe simple r&b zile za kmbelembele wabongo watabaki kusema daah jamaa anajua sana lakini show hapati na wala haiti.
We huoni mfano wa wimbo wa i am not a flirt wa k-lyne ulikuwa kimbele sana
 
..jana hajajibu maswali yeyote aliyokuwa anaulizwa.....hajiamini...haamini kama muda wake umekwisha.....kaa pepmbeni kama wenzio ...umechoka
 
Si walikuwaga mabest hawa!! Mpaka kipindi cha ile show ya daimond 4rever! Platnam alihojiwa kuhusu ule ugonvi wake na wema, akamtaja qchila kuwa alikuwa anafuatwa na wema kama kakae ili awasuruhishe?
 
Huyu ana jihusisha na waganga kabisa ndoa wao muharibia, swala la nyota emelijuaje!

Q-chief kapoteza matumaini.
 
mwizi sana uyu qchila wenu,mwambieni asilete kujuana tutamkanyaga....njaa gani hadi indicator!!
 
karogwa na utumiaji wa madawa ya kulevya,sikuhiz watanzania hawataki uimbe ushike surual kwa mbele,diamond kaja na changamoto mpya so wanatakiwa wabadilike ni si kusema karogwa karogwa,qchief alishawah kuwa na bendi ila kutokana na ubinfsi wake ikamfia mikononi,mbona mwenzao banana huyu 2 na anapambana na mambo yake husikii karogwa au chochote,sikuhiz ni kuimba na kudance ndio mpango mzima
 
ivi kaacha kuiba powerwindow nahisi ni laana za alowaibia
 
tatizo la qchief hajui mziki anawaimbia akina nani. Bongo haihitaji r&b ya kimbele mbele sana inahtaji mtu aimbe simple r&b zile za kmbelembele wabongo watabaki kusema daah jamaa anajua sana lakini show hapati na wala haiti.
We huoni mfano wa wimbo wa i am not a flirt wa k-lyne ulikuwa kimbele sana

jamii forum ni zaidi ya uijuavyo
 
mimi bado sijamuelewa Q-chief
kwani na yeye amelogwa na diamond maana kwenye internterview na
XXL,alilamika kuwa kuna mtu( eti diamond) anatumia nyota yake!

mbona yeye nyota yake ilishazimika zamani sana kabla hata domo hajajulikana
 
wote wachawi tu, huyo diamond mwenyewe, anaimba utumbo tu lakini anapiga mawe mbaya!
 
mimi bado sijamuelewa Q-chief kwani na yeye amelogwa na diamond maana kwenye internterview na XXL,alilamika kuwa kuna mtu( eti diamond) anatumia nyota yake!

bongo fleva mapepe,bongo fleva kicheche
 
Back
Top Bottom