Tetesi: Kuna nini kinaendelea bima? Hospitali hazijalipwa madai zaidi ya miezi 5

Tetesi: Kuna nini kinaendelea bima? Hospitali hazijalipwa madai zaidi ya miezi 5

Bima tz ni ukanjakanja tu
Longolongo nyingi

Ova
Kuendesha bima kunataka nidhamu na uaminifu wa hali ya juu sana huku ukijibana matumizi. Hii mifuko ya bima ya serikali, unakuta kuna bodi yenye watu wanaojilipa watakavyo, wafanyakazi nao wanajilipa watakavyo, serikali nayo inakuja inadai fungu, kamwe haiwezi kuendelea.
 
Nina miezi nane sasa tangu nimepeleka oesa za mtoto shule akatiwe bima na shule kama walivyo agiza. Na bado bima hazija toka hadi leo.
Nilishauri NHIF ipelekwe NIC labda wataweza kuendesha kakini hii kupeana vyeo kiradiki hatufika.
Sijui ni kitu gani Ccm wana weza simamia jamani.. Labda safari za kila siku kuiba kura, na kupoteza watu.
Ogopa sana viongozi wanaosema ''huyu hafai mwondoeni, atatukosesha kura wakati wa uchaguzi''. Yaani kwao, kura ndiyo muhimu, siyo kwamba hafai kwa sababu anafanya wananchi wateseke na kusiwe na maendeleo, la hasha, hafai tu kwa sababu atawakosesha kura. Hii ina maana gani? Kwao ina maana kuwa kiongozi mzuri ni yule anayefanya wapte kura nyingi na siyo yule anayewajibika na kufanya kazi kwa bidii.
 
Kumpa mtu akutunzie fedha zako ndiyo utaratibu ulioko duniani kote. Hivi hata hizo noti za elfu kumi mpaka sarafu ndogo kabisa unazomiliki unadhani una control nazo? Leo hii wanaweza kutangaza kila noti ya elfu kumi haina thamani yoyote, yaani ni karatasi tu.
Sawa lakini Nafikiri Hilo lina wa athili Sana watumishi wa uma
 
Hangaya maji ya shingo, kila sehemu nyeti mambo yanatitia.
Huko bandarini alikoweka wajomba nako hali ni tete. Meli zimelundikana hazipakuliwi.

Lakini utashangaa pamoja na kushindwa kote huku bado atalazimishwa kugombea kwa masilahi mapana ya wapigaji, naye atakubali!
 
Kwa hiyo tujiandae kujifunga mkanda kwa anguko kubwa la kiuchumi??

Serikali inaposhauriwa iwe inapokea ushauri, iachane na matumizi yasiyo ya lazima

Misafara isitishwe hata ikiwepo basi kuwepo hata gari tatu tu basi, mashangingi yasiahizwe, safari za nje ziangaliwe ikiwezekana zisitishwe, serikali ijikite kuwezesha wakulima kwa dhati na siyo maneno maneno

Serikali ipunguze uagizaji wa bidhaa za nje n.k

Mafisadi na wizi unaoanzia milioni moja, wanyongwe
Nani kama Mama![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya waligundua ka zahanati kadogo kanadai marejesho kuliko hospitali kubwa ya rufaaa.

Inaweza ikawa nasi Tanzania ukakuta hospitali ya kawaida inadai marejesho ya bima zaidi ya Hospitali kubwa ya Rufaa ya Muhimbili, huku hospitalli ndogo vikidai vimefanya operesheni complex na nyingi kuliko hospitali ya Taifa ya Muhimbili ..

Inawezekana bima ya Afya Tanzania nao wastuka na kubidi kufanya uhakiki hospitali ndogo kuwa na madai kuliko Bugando au KCMC au Muhimbili ...


RAIS WILLIAM RUTO AELEZEA UOZO WA MADAI YA BIMA ZA AFYA NCHINI KENYA


View: https://m.youtube.com/watch?v=NbmiljC23oI

  1. Sera ya bima ya afya kwa wote Wanachi Inawezekana, afafanua rais utekelezaji
  2. Rais ashangaa hospitali ndogo kabisa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa kuliko hospitali za Rufaa za Kanda na hata zaidi ya hospitali kubwa ya rufaa ya Taifa. Rais asema amebaini yafuatayo;
  3. Kupiga vita ufisadi uliopo ktk mfuko wa bima ya afya, ambapo rais anatoa mfano hospitali moja ndogo sana ina idadi ya madai ya operesheni kuliko hospitali kubwa kabisa ya Taifa ya Kenyatta National hospital
  4. Upigaji mfuko wa bima ya afya, hospitali ndogo huandaa huduma za wazi Open Clinic kupima presha n.k Halafu kuchukua taarifa za bima kwa waliojitokeza kwa kliniki ya wazi ya bure kwenda kukatia bima. Kisha kudai mfuko wa bima wa afya mabilioni ya shilingi kwa operesheni complicated ambazo hazijafanyika. Rais anasema ameamua kupambana na mafisadi hao wa mfuko wa bima ya taifa
  5. Rais asisitiza sasa hakuna tena nafasi fedha za serikali kuibiwa kupitia ubadhirifu, wizi na rushwa
  6. Rais anasema mfumo wa kijiditali e-citizen sasa kila kitu kitakuwa wazi na kuminya nafasi ya ufisadi na wizi wa mali za umma
 
Wizi unavyofuja mfuko wa bima ya Afya. Mkurugenzi wa Mashataka DCI Kenya aweka wazi jinsi magenge ya wajanja wachache wanavyofanya ufisadi na wizi

NHIF HEIST: Blowing cover on how millions are swindled through fictitious private hospital claims


View: https://m.youtube.com/watch?v=TExaWrJOeBI


Massive fraud unearthed in NHIF scheme: Sh20 billion lost to fake claims​

Massive fraud unearthed in NHIF scheme: Sh20 billion lost to fake claims

A picture of the NHIF headquarters in Upper Hill, Nairobi.
By By Patel Okumu | 05 Jan 2024

In a shocking revelation, the Ministry of Health disclosed that the National Health Insurance Fund (NHIF) scheme has suffered a staggering loss of Sh20 billion due to fraudulent activities, including manufactured claims and fake surgeries, among other schemes orchestrated by health facilities.
In a shocking revelation, the Ministry of Health disclosed that the National Health Insurance Fund (NHIF) scheme has suffered a staggering loss of Sh20 billion due to fraudulent activities, including manufactured claims and fake surgeries, among other schemes orchestrated by health facilities.

Health Cabinet Secretary Wafula Nakhumicha, in a Friday statement, exposed the scandal affecting health facilities across the country. Out of the 67 audited hospitals, 27 have been suspended for their involvement in the loss of Sh171 million through the NHIF program.


CS Nakhumicha disclosed that approximately 40% of the total hospitals in the country (3,440) engaged in irregular processes, resulting in substantial Sh20 billion losses. She stated, “Between January and December 2023, out of 67 audited hospitals, 27 were found to be involved in fraudulent activities, resulting in a loss of Sh171 million.”

The newly unveiled Social Health Authority (SHA) conducted an operation revealing various fraudulent activities. These activities include induced demand targeting vulnerable citizens, induced sickness with deceitful activation of dormant member accounts, and financing medically unwarranted treatments. Vulnerable groups such as the elderly were particularly targeted in areas like Nairobi, Meru, Nyahururu, Muranga, Kerugoya, Makueni, TharakaNithi, Subukia, Nanyuki, Bungoma, Chuka, and Machakos.

CS Nakhumicha highlighted instances where facilities utilized fictitious records, falsely indicating members undergoing major surgeries while actively at work. Some facilities even used security guards from licensed security firms, financially inducing them to provide biometrics for fraudulent purposes.

The ministry uncovered anomalies, including healthcare facilities enticing healthy students under the EduAfya cover and providing them with food incentives for their biometrics, resulting in significant financial losses.

Despite the widespread fraud, the ministry assured the public of efforts to restore integrity in healthcare provision. Recovery of the lost claims is underway, with Sh17.7 million recovered out of the Sh171 million lost. Several hospitals involved in fraudulent activities through the NHIF scheme have been identified, and recoveries have been initiated. These hospitals include Jekim Hospital Meru, Joy Nursing & Maternity, St. Peter’s Orthopedic and Surgical Specialty, Charity Medical Centre, and many others
 
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.

JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE HUDUMA INAYOSTAILI HAMLIPI. Kwa habari za chini Hadi wazabuni wanaopeleka vifaa tiba Mahospitalini wamegoma
Sasa hii nchi tunaipeleka wapi BIMA mmekaa kulipana maposho Kwenye viko na kujilimbikizia mikopo Hulu SHIRIKA likifa

Sasa linatafutiwa mbinu ya bima Kwa wote, Bila kujua kuchuguza ufanisi wa SHIRIKA, kwanini kusewepo na machirika mengi wakapambanishwa hili linawapa kiburi
Hatuna viongozi bali wahuni walioingizwa madarakani na dikteta mwendawazimu mwendazake. Wapo maofisini kupiga madili kwa faida ya matumbo yao tu
 
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.

JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE HUDUMA INAYOSTAILI HAMLIPI. Kwa habari za chini Hadi wazabuni wanaopeleka vifaa tiba Mahospitalini wamegoma
Sasa hii nchi tunaipeleka wapi BIMA mmekaa kulipana maposho Kwenye viko na kujilimbikizia mikopo Hulu SHIRIKA likifa

Sasa linatafutiwa mbinu ya bima Kwa wote, Bila kujua kuchuguza ufanisi wa SHIRIKA, kwanini kusewepo na machirika mengi wakapambanishwa hili linawapa kiburi
bima ya watoto nayo naona wameiua kiaina.
Shule zinalazimishwa kupeleka kuanzia majina 100.
Nina watoto 3 shule tofuati toka mwaka jana wote shuleni majina hayajatimia 100
 
Ni kama hao NHIF wamechanganyikiwa siku hizi.

Mtu unatumiwa ujumbe uende kuhuisha uachama wako kabla ya tarehe fulani mwaka huu wakati kadi imeandikwa expiry date ni 2026!
 
Punguza ukali wa maneno hata kama serikali iliyopo madarakani inakukera
Mbona nyerere alipo sema kuna viongozi malaya malaya sijasikia kenge yoyote akisema ukali wa maneno .....kuhusu umalaya malaya(ukahaba) mtafute Nyerere atakuelezea nini maana yake ila kuhusu kuongozwakianithi nitakuelezea [emoji117] kuna aina mbili za mahanithi aina ya kwanza ni mahanirhi wa miili hawa siyo tatizo kwa taifa ila kuna mahanithi wa AKILI hawa ndiyo tatizo na laana ya taifa taifa lolote likiwa linaongozwa na
1)wabunge mahanithi (akilini)
2)rais hanithi (akilini)
3)mawaziri mahanithi (akilini)
Basi taifa ilo lipo kwenye giza kuu na ndiyo tulipo tanzania kwa sasa chini ya hii serikari pumbafuu ya samia
 
Mashirika ya bima yapo mengi tu wawaachie, kuna DIAMOND, NIC, JUBILEE, etc
 
Kwahiyo hizo safari za nje kumbe hazina tija mbona mambo yanaendelea kuharibika
 
Back
Top Bottom