Tetesi: Kuna nini kinaendelea bima? Hospitali hazijalipwa madai zaidi ya miezi 5

Ccm mbere kwa mbere
 
Hakuna kadi za Bima ya afya zinazodharaulika kama za NHIF. Yani ukitoa ile kadi unaonekana kama fukara wa mwisho kabisa.
 
Nyie pigeni kelele wakati wengine tunavaa hizi (milioni mia) mkononi.
Good enough ni kuwa kina Lucas mwashambwa wapo wakipiga ngoma na tarumbeta kuwa "mitano tena" huku hiyo miwili tuu NHIF imetushinda, Tanesco chali, Sukari munaiona kwenye picha, bei juu kila kitu mshahara uleule na ngoja nikae kimya nimechoka kutaja naenda kupumzika Zenji kula urojo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Huu ni upendo wa agape, mitano tena!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Serikali ambayo haijali wananchi wake huwa haiwaweki kwenye mipango hata kama wakiwaweka huwa inawapuuza kwenye kuwahudumia.

Bima ni case study
 
Sasa pesa zetu zinazokatwa zinaenda wapi?
Mbona hatari?
Ile awamu ilichota mipesa sio pesa ni MIPESA Kutoka mifuko mbalimbali ikiwemo hili NHIF,,

Pesa zkaenda ktk mirad🙄,, ufanisi lazima upungue,,

Majibu wanayo wahusika lakini kama ujuavyo mwenye kisu kikali 🤣🙌
 
Ile awamu ilichota mipesa sio pesa ni MIPESA Kutoka mifuko mbalimbali ikiwemo hili NHIF,,

Pesa zkaenda ktk mirad🙄,, ufanisi lazima upungue,,

Majibu wanayo wahusika lakini kama ujuavyo mwenye kisu kikali 🤣🙌
Aisee Kwa hiyo ilikuwa ni lazima tungefika hiki kipindi, cha mifuko kufilisika, na miradi Ku stuck!!
Hivi hatunaga plan za muda mrefu?
Au inategemea na ubabe wankiongozi.
 
Kwa HIV vinchi vyetu vya ki Afrika kama TZ, ukiona serikali inaanzisha mifuko ya kuweka pesa kama hifadhi ya jamii, au afya, jua hapo ndio kenge wa chama tawala wanapopigia pesa,, bima ya afya, haiwezi kuwa na pesa, pesa zake,zimewekwa hazina,serikali inajichotea tu!
 
Na siku hiz ukienda hosp kutibiwa na bima ni mpk siku tano zipite ndo unaruhisiwa kutumia tena bima
 
Nadhani Tanzania, wakianza kuzuia vitu kama hivyo, jamaa huonekana wabaya.
 
Nadhani Tanzania, wakianza kuzuia vitu kama hivyo, jamaa huonekana wabaya.

mengi sana yanaendelea wajanja kuunda magenge na kufuja fedha za NHIF. Watu wanajichotea bila wasiwasi.

Kenya NHIF wamethibitisha ukora upo na wameamua kuudhibiti, kwetu Tanzania hakuna tamko nini kinaendelea katika ufujaji Bima ya Afya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…