Kuna nini kuhusu AI mfumo kuzibitiwa kama ukitoka nje ya USA hata ufanyeje unakataa kabisa

Kuna nini kuhusu AI mfumo kuzibitiwa kama ukitoka nje ya USA hata ufanyeje unakataa kabisa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mi na vijana na nakijana nilichobakisha ni aviator ya mungu na maisha tuliyopo nayo wengine wanaona kama mungu ni CCM.

Sasa kitu ambacho kina nishangaza yani AI zilizotengezwa USA ni ngumu kufanyika nchi za watu na zimekuwa zikigoma kabisa na hata ukitoka nchi nyengine utapata matokeo tofauti.

Ukifika USA ukatumia AI na kuuliza maswali ni tofauti na AI ya africa swali ilo ilo moja.
 
Oya Mkuu! Weka ushahidi, maneno makavu ni magumu kumeza.
 
Back
Top Bottom