Kuna baadhi ya vyakula au vinywaji huwa wanasafiri navyo...
Pia huwa wana affiliations na hoteli kadha wa kadha ambazo washakubaliana kuhusu vyakula na vinywaji...
Kuna mkasa mmoja wa Kolo Toure alipokuwa Arsenal, alitumia vidonge lishe vya mkewe pasipo kujua vina chembechembe za kemikali zisizotakiwa michezoni, akafeli vipimo, na ikawa kesi kubwa tu ikidhaniwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu...
The Manchester City defender's failed drugs test was a result of taking a diet pill, says his former manager Arsène Wenger