PreGE2025 Kuna nini? Mbona Rais Mwinyi kasogeza mbele tarehe ya kuvunja Baraza la wawakilishi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.

Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
 
Attachments

  • Screenshot_20250623-181850.png
    Screenshot_20250623-181850.png
    309.1 KB · Views: 29
Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.

Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
Ccm hutufanya hatuna akili zaidi yao.
Mambo yame wafika shingoni.. Ama wa Kizimkazi hatoki tena Tanzania kwa mambo ya ajabu yanayo fanywa na serikali yake.
Chadema wali waambia muda wa kubadili baadhi ya vifungu vya sheria ili uchaguzi uwe huru na haki upo wao waka shupaza shingo. Sasa wameona NRNE ime pamba moto wana shtuka kume kucha, wana taka kupitisha sheria ili kukidhi matakwa ya kisheria uchaguzi uwe huru. Subiri hata Mama ata ahirisha kuvunja bunge la Ccm kesho kutwa..
 
CCM lazima alivunje bunge, kesho kutwa anataka mteremko
 
Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.

Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
soma katiba ya zanzibar utaona yuko sahihi
 
Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.

Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
Ukiona hivo wameshaongea na yule mtawala wa Danganyika. Wote hawatavunja mabunge kwa ajili ya kusikilizia msimamo wa wale tunaowazidi kwa ukuaji wa uchumi.

Unganisheni dot za kuzuia mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya chama cha machawa.

Ngoja tusikilizie kama bundi atatua. Bado yuko angani.
 
Back
Top Bottom