The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.
Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
Next week watawithdraw kesi ya Lissu waanze kunegociate na Chadema.