Inamaana kuna jambo kati ya sasa na Aug!Toka awali walitangaza tarehe 23 June how come wahairishe hadi wa nane
Inamaana kuna jambo kati ya sasa na Aug!Toka awali walitangaza tarehe 23 June how come wahairishe hadi wa nane
Let seeInamaana kuna jambo kati ya sasa na Aug!
Alhamis ya tareh 23 mwezi huu?🙄Wacha tuone kama Alhamisi ya tarehe 23 mwezi huu Samia atavunja Bunge.
Ishawai tokea bara bunge limevunjwa, Zanzibar bado linaendelea mwaka wa uchaguziWacha tuone kama Alhamisi ya tarehe 23 mwezi huu Samia atavunja Bunge.
Fafanua hili ndugu,No Reforms No Election siyo mchezo, wenyewe chama kongwe dola kimeamua kusalimu amri.
Not easyNo Reforms No Election siyo mchezo, wenyewe chama kongwe dola kimeamua kusalimu amri.
The code is tough ila ipo namna only wenye siri na makabrasha ya Taifa wanajuwa.... seems tz kidon wana kaz maalumu well God is on side of TzBaraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.
Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
Who know?Wacha tuone kama Alhamisi ya tarehe 23 mwezi huu Samia atavunja Bunge.
Fafanua hili ndugu,
Tumepambana sana.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Kdae5nLtK18 Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.
Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza
Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.
Akijibu hoja zilizowasilishwa na shirika la East and Horn of Africa Human Right Defenders Network, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Posi, alisema wanaharakati hao hawakusema sababu ya ukweli iliyowaleta Tanzania.
"Pamoja na kuwa shutuma zao dhidi ya serikali zina mashaka makubwa, tunayachukulia kwa uzito mkubwa madai ya kuteswa,unyanyasaji wa kingono na vitendo vya ukiukaji wa maadili. Ndio maana serikali kwa sasa inachunguza, na ikithibitika, wahusika watachukuliwa hatua," alieleza Balozi Posi leo Juni 18, 2025.
Video
Kuna ma senata kama Sen. Hawley, huko nchini Marekani ni mtu makini mwenye ushawishi wa hoja, anakuwa na ushahidi wote kwa kutumia wasaidizi wake ili kubana watumishi wa dola wawajibike
View: https://m.youtube.com/watch?v=aOuy1dypXGg
Soma katiba ya Zanzibar wana katiba yaoToka awali walitangaza tarehe 23 June how come wahairishe hadi wa nane
21 June 2025
Washington DC, Marekani
Mkutano wa Mh. Othman Masoud Othman na Diaspora Washington DC
DIASPORA YA MAREKANI YAMULIZA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MH. OTHMAN MASOUD OTHMAN
View: https://m.youtube.com/watch?v=PzEhPQD_gNk
Othman Masoud Othman nimeongea na baadhi ya wajumbe wenye ushawishi mkubwa ndani ya Congress (bunge) la Marekani na pia Maseneta. Siyo kwa ajili ya kuaibisha nchi bali kuelezea hali halisi ya kisiasa kule nyumbani
Diaspora yaumuliza Mh. OMO je akiingia madarakani ana visheni gani.
Mustakhabali wa amani na utu kuanzia 2026 mheshimiwa OMO analichukua vipi. D
Dual citizenship kwa wazawa Mh. OMO anamaoni gani ?
Bima ya Afya sisi Diaspora kutozwa Zanzibar hii ipo vipi Mh. OMO
Umiliki wa ardhi pia unatutatiza sisi wana Diaspora je Mh. OMO jambo hili utalibeba vipi ?
Ma Container ya Zanzibar kushushwa Mombasa na kukaa hata miezi 6, tumeelezwa ni ufinyu wa maeneo ya bandari hususan magati machache, je Mh. OMO serikali ina mpango gani ma container ya Zanzibar kushushamwa Mombasa ?
Ajira kwa vijana ni tatizo Mh. OMO kuna mkakati gani kwa ajira zaidi na maisha ya raia
No Refoms No Election hili swala vipi mheshimiwa OMO
Uhuru wa kuabudu, askofu Gwajima kanisa kufungwa, je Mheshimiwa OMO unalionaje swala hili ?
Maswali kibao : N.K N.K tazama clip nzima
Source : America Swahili News