The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.
Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
Hakusema chochote alipokuwa analisogeza mbele?Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.
Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
Mtatumia kila aina ya lugha safari hii; ila kila mtakayoitumia itaeleweka vile vile kama ile nyingine mliyodhani watu hawataielewa!Bunge na baraza la wawakilishi ni vitu viwili tofauti
Bunge linavunjwa kesho
Ila Zanzibar wamecheza vizuri mchezo .Safi sana
Si kwa matakwa Yao, wakaze shingo ivunjike huwezi kuongoza kwa miaka 5 bila mikopo Wala misaada Toka ulaya na marekaniiNot easy sio Kwa CCM hii
SIO rahisi CCM wanajitoa Sana akiriSi kwa matakwa Yao, wakaze shingo ivunjike huwezi kuongoza kwa miaka 5 bila mikopo Wala misaada Toka ulaya na marekanii
Alisema kuptisha maandalizi ya uchaguzi, Sasa uchaguzi si ulikuwa unajulikana utakuwepo, au uchaguzi umewashutukuzaHakusema chochote alipokuwa analisogeza mbele?
Umeleta taarifa ambay siyo kamili. Tueleze alisema nini. Hawezi kusogeza mbele tu bila ya maelezo yoyote.
Sio rahisi, CCM hawawezi muachia Lissu,afu tuyari Wana fake opposition ChaumaNext week watawithdraw kesi ya Lissu waanze kunegociate na Chadema.
Hahahaa. Uwanja wa kuchezea nini?P.Mpango (PhD) anapasha uwanjani hapa β¦
Chauma ya John Mrema,siwasikii tenaSio rahisi, CCM hawawezi muachia Lissu,afu tuyari Wana fake opposition Chauma
LOOoooh!Alisema kuptisha maandalizi ya uchaguzi, Sasa uchaguzi si ulikuwa unajulikana utakuwepo, au uchaguzi umewashutukuza
Uchaguzi ni ajari,kwamba umekuja gafraLOOoooh!
Si ungesema tu hivyo toka mwanzo; mkuu 'Mto wa Mbu'!
Mbona kumbe taarifa yote kamilifu kabisa kuhusu uahirisho huo inajulikana.
Hii ni habari njema kwetu sote.
Hapana; uchaguzi ulipangwa tokea zamani kama tunavyojuwa sote.Uchaguzi ni ajari,kwamba umekuja gafra
Nimekuelewa mkuu, lakini kwa dharau na majigambo ya Makala,Nchimbi,Wasira, sitegemei kama watabadilisha msimamo wao na kufanya reforms.Hapana; uchaguzi ulipangwa tokea zamani kama tunavyojuwa sote.
Kilicho badilika ni kujiaminisha wao kwamba wangeweza kulazimisha huo uchaguzi uendelee kama ulivyo pangwa ili walazimishe kubaki madarakani wao.
Kilicho badilika ni hali ya hewa; na wao ni wazi wameyaona mabadiliko hayo. Dhoruba linalojitengeneza kuwafyekea mbali lipo wazi kama wasiporekebisha mambo wakati wa saa mbovu kama huu.
Kiufupi, kama bado huelewi, ni kwamba Samia na Genge lake sasa inawalazimu wanunue muda wa ziada (kuahirisha kuvunjwa kwa hilo Bunge), ili zitafutwe njia za kulipoza lile dhoruba linalojijenga mbele ya nyuso zao.
Kama bado huelewi, hilo ni tatizo lako mwenyewe!
Halafu maandalizi ya uchaguzi huwa yanafanyikia bungeni?Alisema kuptisha maandalizi ya uchaguzi, Sasa uchaguzi si ulikuwa unajulikana utakuwepo, au uchaguzi umewashutukuza
Hakuna njia mbadala tena. Dhoruba linajionyesha wazi wazi mbele yao!Nimekuelewa mkuu, lakini kwa dharau na majigambo ya Makala,Nchimbi,Wasira, sitegemei kama watabadilisha msimamo wao na kufanya reforms.
πππ Labda karatasi za kura zinaprintiwa Kwa bungeHalafu maandalizi ya uchaguzi huwa yanafanyikia bungeni?
Sema aliyebuni slogan ya No reform No election alikuwa na akiriHakuna njia mbadala tena. Dhoruba linajionyesha wazi wazi mbele yao!
Hao uliowataja hapo, usije ukashangaa ndio vinara wa kuhimiza mabadiliko huko ndani ya chama sasa hivi! Hao kwa kiasi kikubwa waliwekwa kwenye nafasi hizo kuwa vikaratasi tu vya kusafishia uchafu; lakini kazi hiyo imeonyesha kuwa ngumu sana kwao; na wanaiona hatari inayowakabili.
Hii haiwezi kuwa kazi ya mtu mmoja, ni mchakato wa muda mrefu na watu mbalimbali.Sema aliyebuni slogan ya No reform No election alikuwa na akiri
Mwinyi kasogeza huku Samia kabakiza siku 3 kulivunjaBaraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.
Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi zimesimama,Hadi hapo baada ya August 13.
So Bongo wanavunja uku visiwani wakiendelea na Bunge,Mwinyi kasogeza huku Samia kabakiza siku 3 kulivunja