Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

Jana nimesoma mahali kuwa ATCL wamepata tuzo. Ninashanga tuzo gani kama mambo bado yako hivyo?. Wasafiri wamewahi asubuhi na wamecheleweshewa ndege hata kifungua kinywa hawapati.
 
Kuna haja ya kufuatilia kwa ukaribu uraia na marafiki wa watoa maamuzi wa shirika letu.wanaweza kuwa raia ila marafiki zao wasiwe raia na wakawatoa kwenye uzarendo.
 
Hivi ninavyoandika abiria wa ndege za ATCL kwenda Arusha, Bujumbura, Dodoma wapo stranded Terminal II ya JKNIA kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoenda maeneo hayo...

Taarifa zisizo rasmi toka kwa wafanyakazi wachache waliopo hapa wanatoa excuse sijui **** shida kwenye runway lakini ndege za PW zinaondoka vizuri tu kwani abiria wake wanaitwa kwenda ku-board (mathalani PW ya BKB kupitia MWZ)...

Ndege ya Arusha imesogezwa hadi saa 10 alasiri toka saa 7 mchana, ya Dodoma imesogezwa mnele hadi saa 4 usiku toka alasiri hii, na Bujumbura nayo imesogezwa usiku huko...

Ajabu ni kwamba hakuna meneja, wala mfanyakazi yeyote ngazi ya juu aliyepo uwanjani kutoa taarifa yeyote au kufanya mchakato wa kufaulisha wasafiri kwenye mashirika mengine ambayo yanaweza yakawa yanaenda maeneo tajwa.
View attachment 2879550View attachment 2879551
Hahaaaa, umebaki pekeyako eapot, angalia mpira tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom