Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

Jana nimesoma mahali kuwa ATCL wamepata tuzo. Ninashanga tuzo gani kama mambo bado yako hivyo?. Wasafiri wamewahi asubuhi na wamecheleweshewa ndege hata kifungua kinywa hawapati.
 
Kuna haja ya kufuatilia kwa ukaribu uraia na marafiki wa watoa maamuzi wa shirika letu.wanaweza kuwa raia ila marafiki zao wasiwe raia na wakawatoa kwenye uzarendo.
 
Hahaaaa, umebaki pekeyako eapot, angalia mpira tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…