Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
AminaUzuri wa Ukristo, Ni MUNGU ndiye hujibu.
MUNGU wetu sio kiziwi, na wala si kilema - Atajibu na Atatenda
Kweli kabisa,umeongea point.Naungana na wewe kwenye kufanya uchunguzi wa kina ili kujua chanzo hasa cha hao makasisi wawili.
Ingawa ifahamike pia, hao makasisi wanaishi kwenye jamii iliyogubikwa na mauaji ya kila aina! Hivyo lolote linaweza kutokea.
Nimekusamehe bure.Hawakuwa jesuit au teeth?
Kama wamezingua washikishwe tu adabu ili iwe funzo kwa wengine.
Watakuwa wanatombaga walei ha6
Umekosea kumjibu. Mwehu hajibiwi na mtu mwenye akili timamu kama wewe, mtaonekana wehu wote hatimaye.Nimekusamehe bure.
Sawa Mkuu, Asante kwa ushauri.Umekosea kumjibu. Mwehu hajibiwi na mtu mwenye akili timamu kama wewe, mtaonekana wehu wote hatimaye.