Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ndani ya mwaka mmoja Makasisi wawili wa Kanisa Katoliki wameuawa kikatili mmoja huko Dar es Salaam na mwingine huko Mbeya.
Vifo vya Makasisi tena kwa kulengwa na kuteswa hakika si jambo la kupuuzwa hata kidogo!
Kanisa Katoliki yalipasa kwanza like likemee tabia hiyo na pili lichunguze lenyewe chanzo cha kadhia hiyo kwa sababu Katoliki ni Taasisi iliyo na nyenzo za kiuchunguzi tena zilizoboreka kwalo.
Shime Kanisa la Roma amukeni kabla hamjamalizwa.