Hawa nao WCB ushamba tu.. kina Jay Z wana degreee mpqka 32 za ufreemason hawavai mapete.. sasa hawa wenzangu na mimi ndio kwanza wanasomea cheti mapete yote hivi hawa wakipata hata hiyo diploma sijui itakuwaje??
Mkuu wachina na wale wakorea wanavyozidi kutusua daily ni nini haswa wanachofanya!,Je wanakomalia vitu kama hivi au wanashughulisha akili zai plus kufanya kazi kwa bidii!! Ippfo mbitonyi!!!