Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wachina kama mimi... Nawaonaga huku wanako jenga barabara... Mwisho wanatimuliwaga na kurudishwa kwao.... Wao ni madem tuu na kuiba mafutaMkuu wachina na wale wakorea wanavyozidi kutusua daily ni nini haswa wanachofanya!,Je wanakomalia vitu kama hivi au wanashughulisha akili zai plus kufanya kazi kwa bidii!! Ippfo mbitonyi!!!
Unaamini unachoona kwenye movie za Kinaija?Kuna picha moja ya Nigeria hao jamaa walikua wakitaka kufanya mambo yao walikuwa wanasema ' The more you look, the less you see'.