Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

Hawa nao WCB ushamba tu.. kina Jay Z wana degreee mpqka 32 za ufreemason hawavai mapete.. sasa hawa wenzangu na mimi ndio kwanza wanasomea cheti mapete yote hivi hawa wakipata hata hiyo diploma sijui itakuwaje??
 
Hiyo ni swaga tu na utoto wa kuiga hata visivyo na maana. Freemason wawe WCB!!?
 
Mkuu wachina na wale wakorea wanavyozidi kutusua daily ni nini haswa wanachofanya!,Je wanakomalia vitu kama hivi au wanashughulisha akili zai plus kufanya kazi kwa bidii!! Ippfo mbitonyi!!!
Wapo wachina kama mimi... Nawaonaga huku wanako jenga barabara... Mwisho wanatimuliwaga na kurudishwa kwao.... Wao ni madem tuu na kuiba mafuta
 
Back
Top Bottom