Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

Suala la mtu kuacha kazi nalo liwe news mkuu, lets be serious..daily taasis zina hirr na ku fire na wengine ku resign..haya ni mambo ya kawaifa kabisaa
 
Wenyewe wanasemaje ? Ni sababu zipi wametoa za kuacha kazi ? Nadhani hio itakuwa ni sehemu nzuri ya kuanzia (From the Horses Mouth)
 
Kwa faida ya wasomaji wa JF ambao hawafatilii TBC mngesema aliyeacha kazi kabla ya huyu ni nani?
 
Umaarufu shekh....
Ukisha kua maarufu hii ndio gharama yake
Ni maarufu wapi? Umesema anahusika na nini? Maana sometime vijana mnaleta hbr za watu wa mitaani kwenu JF kama sisi wote tunawafahamu.
 
Back
Top Bottom