stress za maisha ni kitu mbaya sana πIAlikuaga mzuri sema kazeeka ghafla
Anahusika na nini?Ni nani huyo?
Ok. Sawa. So why anajadiliwa hapa? Nyie mnapenda sana wapost ndugu na watu wenu Jf. Why?Ni fundi pikipiki pale shekilango makaburini baada ya zile frame mpya ukiwa unatokea kwa remy...π
Umaarufu shekh....Ok. Sawa. So why anajadiliwa hapa? Nyie mnapenda sana wapost ndugu na watu wenu Jf. Why?
Hakika .Bado jibu halijapatikana, nini tatizo..?
Ni maarufu wapi? Umesema anahusika na nini? Maana sometime vijana mnaleta hbr za watu wa mitaani kwenu JF kama sisi wote tunawafahamu.Umaarufu shekh....
Ukisha kua maarufu hii ndio gharama yake