Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 379
- 1,082
Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli.
Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna riba? Kuna njia nyingine ya kupata tofauti na halmashauri? Kuna ofa million Moja hapa nikifanikisha.
Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna riba? Kuna njia nyingine ya kupata tofauti na halmashauri? Kuna ofa million Moja hapa nikifanikisha.