Kwema mkuu,
Pole sana kwa changamoto ila kwasasa huduma hii ya mikopo ya hazina imeboreshwa namna ya upatikanaji wake. Waombaji wote wataomba kupitia mfumo. Good news ni kwamba sio Halmashauri wanao manage huo mfumo wao ni user tu kama wengine na unafanya kazi kwa mtindo wa FIFO yani First In, First Out na pia utakuweka kwenye queue kama hutofanikiwa kupata mwaka husika till next year na utakuwa wewe wa kwanza kwenye list ya waombaji.
So, hata Hazina wenyewe wanatambua changamoto hizo. Sasa kama uko na ofa hiyo uliyoitaja kwanini usimtafute mratibu wa hiyo mikopo kwenye Halmashaur yako mkamalizana.
Mkuu lakini pia jiridhishe nidhamu yako pia maana kuna kamati ya hiyo mikopo wanapitia mmoja mmoja na kujiridhisha kama unafaa usikute maboss zako ambao ni wakuu wa idara ulishayatimba wanakuchinja tu huko.
All the best Ngosha