Kwani unashida gani kiasi cha kulazimisha upate mkopo? Unajua nyie watumishi hususani waalimu mna kasumba ya kukopa hata kama huna haja kubwa badaye take home zinapungua mnaanza kutumika vibayaHii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli.
Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna riba? Kuna njia nyingine ya kupata tofauti na halmashauri? Kuna ofa million Moja hapa nikifanikisha.
Utapata mkopo bila mdhamini wako/halmashauri kuelewa?Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli.
Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna riba? Kuna njia nyingine ya kupata tofauti na halmashauri? Kuna ofa million Moja hapa nikifanikisha.
Naendeleza biashara yangu ya vifaa vya ujenzi mkuu, nataka nipanuke zaidi maana huku gap naliona.Kwani unashida gani kiasi cha kulazimisha upate mkopo? Unajua nyie watumishi hususani waalimu mna kasumba ya kukopa hata kama huna haja kubwa badaye take home zinapungua mnaanza kutumika vibaya
Neenda islamic banking hawana riba ila mnagawana faida kwa asilimia ndogo sana.Naendeleza biashara yangu ya vifaa vya ujenzi mkuu, nataka nipanuke zaidi maana huku gap naliona.
Nilianza na duka dogo dogo tu vitu vichache kwa million 3, nilikua na deal na misumari, kufuli, gundi za mbao, spray, sasahivi nataka niingie full. Niweke mdf n.kKwani unashida gani kiasi cha kulazimisha upate mkopo? Unajua nyie watumishi hususani waalimu mna kasumba ya kukopa hata kama huna haja kubwa badaye take home zinapungua mnaanza kutumika vibaya
Duka likipanuka zaidi si utalazima kuacha ajira wakati tayari una mkopo wa 20m, anyway nyie Waha ni wapambanaji japo ni wabishi sanaa.Nilianza na duka dogo dogo tu vitu vichache kwa million 3, nilikua na deal na misumari, kufuli, gundi za mbao, spray, sasahivi nataka niingie full. Niweke mdf n.k
Kumbe we ni ngosha umejiongeza mkuu pambana uta taboa tu.Mimi sio muha, mimi home mwanza nimeajiriwa huku, nimeamua kukaa huku huku.
Huu ndio ukweli, miaka 4 yote nimepambania nimekosa.Subiria Mwaka Ujao wa Fedha.
Na jinsi ilivyo ni lazima Halmshauri husika ihusike kwenye sehemu yake.
Tatizo huko Kwenye mahalmashauri mnakunjiana sana na pia mikopo hiyo inatawaliwa na Lobbying, Syndicate Pamoja na Rushwa kwa baadhi ya Ma HR.
Labda Kama Ni mwl,lkn Kama uko makao makuu hapo kuhamishwa Ni muda wowote ule.Mimi sio muha, mimi home mwanza nimeajiriwa huku, nimeamua kukaa huku huku.