Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

Kweli mkiu, umenena vyema sana.
 
Naendeleza biashara yangu ya vifaa vya ujenzi mkuu, nataka nipanuke zaidi maana huku gap naliona.
Pambana sana mkuu. Kigoma kuna fursa sana japo watu wengi wanapadharau sana. Watumishi wengi au wageni wakijaga huko huwa hawataki kutoka mkoa huo. Vipi upo maeneo gani hapo Kigoma?
 
Pambana sana mkuu. Kigoma kuna fursa sana japo watu wengi wanapadharau sana. Watumishi wengi au wageni wakijaga huko huwa hawataki kutoka mkoa huo. Vipi upo maeneo gani hapo Kigoma?
Nipo kigoma mjini mkuu manispaa hapa, hata Mimi nilikuja huku moyo na akili nilikua nawaza kutoka huku, lakini nimeamua kukaa kigoma nifanye maisha.
 
Kama biashara umeijua na inauwezo wa kurejesha faida kwa nini usumbuke miaka 3, kwa Nini usiingie NMB, mikopo ya Biashara. 10m mwaka mmoja unarejesha 11.3. Yaani ukiona unaziogopa bank ujue biashara yako huna uhakika nayo
 
Kwani unashida gani kiasi cha kulazimisha upate mkopo? Unajua nyie watumishi hususani waalimu mna kasumba ya kukopa hata kama huna haja kubwa badaye take home zinapungua mnaanza kutumika vibaya
Kwani tukikopa wewe unaumia nini? Ulishawahi kulala njaa nyumbani kwako kisa mwalimu kakopa bila sababu? Kuwa na sifa ya kukopesheka ni heshima kubwa sana kwa mtu yoyote,hata mimi nataka nikope
 
Attachments

  • Screenshot_20240510-162451~2.png
    377 KB · Views: 59
Kama biashara umeijua na inauwezo wa kurejesha faida kwa nini usumbuke miaka 3, kwa Nini usiingie NMB, mikopo ya Biashara. 10m mwaka mmoja unarejesha 11.3. Yaani ukiona unaziogopa bank ujue biashara yako huna uhakika nayo
mmh mkopo wa benki gani ulipe kidogo ivo?riba ni ngapi?
 
Huyo mratibu wa Mikopo unayemshauri amalizane naye ndio mtaka Rushwa na au kinara wa Kuratibu syndication yao.

Kamati inayopitia maombi hayo huwa wanatawaliwa na ubinafsi na pia huangalia wale walio karibu yao zaidi na Mara nyingine hutoa kipaumbele kwa wale Watoa rushwa.

Kama mshahara wake unaruhusu yeye kukopa hicho ni kigezo muhimu hivyo vingine vinatoa loopholes za kubaguana na kupendeleana tu.
 
Hebu fafanua hazina ndio Benki gani?
Kama hiyo Benki ya hazina ilitaka kukukopesha milioni 20 sasa tatizo ni nini?
Ufafanuzi tafadhali.
 
Mikopo Ya Hazina Ina Riba Ndogo Sana Sana 3%
Naiona Imejaa Sana Watu Wanapata Tu Tena Chap
Kigoma Upo Mkoani Ama Kijijini
 
Kwani tukikopa wewe unaumia nini? Ulishawahi kulala njaa nyumbani kwako kisa mwalimu kakopa bila sababu? Kuwa na sifa ya kukopesheka ni heshima kubwa sana kwa mtu yoyote,hata mimi nataka nikope
Duh,nmeona kuna mkopo unakatwa elf 10 hapo. Halafu ulikopa pesa nyingi tu. Ni miaka mingap aisee,naona kama makato ya elf 10 ni madogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…