Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

kwa wanafalsafa inawezekana, pale ambapo unaitengeneza akili yako kuwa satisfied na activities nyingine nyingine apart from sex.

Mfano mimi nilisex mara ya kwanza at age 23 baada ya kumaliza chuo. Ila ndo nilikuwa nipo busy sana na activities nyingine.. umri wa teenage ilikuwa ni mtu wa kuchora sana, so ilikuwa naweza kaa 12 hours nachora, nikajikuta automatically imeniondoa kwenye kuwaza sex

At university, ilikuwa mtu wa kusoma sana library, nilikuwa nasoma vitabu tu vya aina yote.

Baada ya hapo ni mtu wa kulala sanaa.. au kufuatilia habari za kidunia. Yaani zilikuwa zanipa satisfaction kubwa mnoo.

Japo pamoja na yote kulikuwa na episodes za kutamani kusex, lakini zilikuwa zaidi zikinijia pindi ninavyokuwa stressed au kuna vitu vimeingilia akili yangu
 
kwa wanafalsafa inawezekana, pale ambapo unaitengeneza akili yako kuwa satisfied na activities nyingine nyingine apart from sex.

Mfano mimi nilisex mara ya kwanza at age 23 baada ya kumaliza chuo. Ila ndo nilikuwa nipo busy sana na activities nyingine.. umri wa teenage ilikuwa ni mtu wa kuchora sana, so ilikuwa naweza kaa 12 hours nachora, nikajikuta automatically imeniondoa kwenye sex

At university, ilikuwa mtu wa kusoma sana library, nilikuwa nasoma vitabu tu vya aina yote.

Baada ya hapo ni mtu wa kulala sanaa..

Japo pamoja na yote kulikuwa na episodes za kutamani kusex, lakini zilikuwa zaidi zikinijia pindi ninavyokuwa stressed au kuna vitu vimeingilia akili yangu
Right! story yako imeongeza kitu asante kwa kushare
 
Wanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.

Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.

Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...

Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
 
Back
Top Bottom