kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Lakini sex ina faida zake 😊😊Ndio maana hata tunawahi kufa mapema
🙂
Lakini sex ina faida zake 😊😊Ndio maana hata tunawahi kufa mapema
🙂
Kabla hujamuoa mpe masharti yako mwambie umeoa ili upewe 😁😁Haha tukioa ndio nasikia kuna kunyimwa unyumba
Nalala mwenyewe mkuuHahaha dah we muoga kweli [emoji23]
Ni mambo ya kawaida tu hayo..Usinitishe mkuu, nisije nikaota ujue
Kwa ninavyojua ni kwamba ukitaka kumtawala mtu unashusha uwelewa wake huelekee chini na sio juu ili awe mtumwa.Mkuu nimefatlia sana ndo nimekuja na conclusion hiyo aisee hii kitu ina mambo mengi hatujui aiseee
Hivi watu wangejua kidogo about orgasm's sizani kama wangekua wanashabikia haya mambo
Mkuu ni kweli umegusa kule kule ndo mana wanasema ile sex desire unaweza uka iturn into success weww ukapeleka yale matamanio ukawa unatamani kufanya kitu cha kufanikiwa tu...Kwa ninavyojua ni kwamba ukitaka kumtawala mtu unashudha uwelewa wake huelekee chini na sio juu ili awe mtumwa.
Kuna ancient drawing hasa za Egyptians kama utapata muda zimelezea hivi vitu. Sex ni business kwa Sasa.
KUna usemi tukisoma tulikua tukiambiwa tusichanganye mapenzi na shule kwa sababu tutafeli na hii ni kweli cos ukiendekeza kukumbu zinapungua na hutufanya tupuuze vitu msingi.
Hii mada ni ndefu nitosheke kusema semen ni mafuta (energy) ukitunza unaenda kufunga jicho la 3.
Asante
INategemea usalama Gani hasa unakusudia.Mh! Kwahiyo sex siyo salama sana, eti?
Et kiuchumi.. daah we jamaa una vimatusi flani vya kinafiki 😂😂🙌🙌🙌INategemea usalama Gani hasa unakusudia.
Kama afya waweza fanya kwa kufuata kanuni za afya. Kama ni uchumi zipo kanuni na kama ni kiulimwengu zipo kanuni pia.
ndio jifunze kusoma vitabu au kama hujaoa basi oa mke utulie na mkeoNiaje wakuu
Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.
Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.
Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
😁😁😁🙌hiyo nomahaha sawa jirani nitaandaa contract, mwanasheria na mashahidi watatu kwa pande zote mbili.
Faida za sex ni zipiINategemea usalama Gani hasa unakusudia.
Kama afya waweza fanya kwa kufuata kanuni za afya. Kama ni uchumi zipo kanuni na kama ni kiulimwengu zipo kanuni pia.
Hao jamaa walimfanya mbaya ibraah wa hamornize...😳 hao OYA si ndio walimkili jamaa fulani
Aaah! Ni mazoezi mkuu, ukifanya mazoezi mwili utachoka utapata usingizi hutowaz sexNyingi tu kila kitu, kila kitu zingatia neno KITU, kina faida na hasara zake hilo nalielewa, hapa nataka kujua njia nyinginezo za kumaliza/kupunguza hamu ya mapenzi tofauti na njia ya ngono