kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Acha uongo basi๐๐Hao jamaa walimfanya mbaya ibraah wa hamornize...
Mpaka sasa kila nyimbo ni OYA OYA OYAAA ๐๐๐๐๐
Acha uongo basi๐๐Hao jamaa walimfanya mbaya ibraah wa hamornize...
Mpaka sasa kila nyimbo ni OYA OYA OYAAA ๐๐๐๐๐
Hii kamba jirani ๐๐acha kabisa na anakiri alipata mental issues OYA OYAA OYAWEE KAMA NIMETOROKA MIREMBE
Fatilia ibraah ile oya yake utajua anawataja kina nani ๐๐๐๐๐๐Acha uongo basi๐๐
Show kali unaambiwa majamaa walimchanganyaacha kabisa na anakiri alipata mental issues OYA OYAA OYAWEE KAMA NIMETOROKA MIREMBE
Kama kweli lakini siyo kweli๐๐Fatilia ibraah ile oya yake utajua anawataja kina nani ๐๐๐๐๐๐
GeniusEt kiuchumi.. daah we jamaa una vimatusi flani vya kinafiki ๐๐๐๐๐
Kama jamaa hapo juu akipinga basi sio kweli ila kama unaona hata yeye kasapoti jua kweli..Kama kweli lakini siyo kweli๐๐
Kwahiyo Ibraah kapewa fungu awabrand auKama jamaa hapo juu akipinga basi sio kweli ila kama unaona hata yeye kasapoti jua kweli..
Hao majamaaa. Wana kagari kao yani jichanganye aiseee
Mazoezi ya mwili jiraniSwadakta mazoezi gani jirani kuna ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA nalo ni zoezi, mazoezi ya darasani
๐
Hapana ibrah itakua nae ni muhanga..Kwahiyo Ibraah kapewa fungu awabrand au
Muongo weweSwadakta! ila kwa jinsi navyopiga jembe si mazoezi tosha kabisa mkuu
Sipendi madeni aiseeHapana ibrah itakua nae ni muhanga..
Wewe unaongea kwa sababu ujawahi daiwa na hao jamaa
Sasa hao OYA OYAA OYAAA hata kama anaekudai ni mtu mwingine anaweza kwenda kuwakodi waje kukudai ๐๐๐๐๐Sipendi madeni aisee