hahaha dah nimecheka hatariWanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.
Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.
Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...
Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
Madini hayo bloodhahaha dah nimecheka hatari
😀 😀 😀
😀Mtie loss mwajir wako hakita simama miez mi tatu akijua
Mkuu shukrani sana una hekima utafika mbali JF inahitaji watu kama wewe.Mazoezi, nikiwa teen Kuna wakati nilikua na issues na girlfriend wangu nikaamua kufanya mazoezi sana I played basketball. Ilinisaidia at that time. Mwili ukichoka ni ngumu kuwaza hivyo. Tukienda deep kidogo nikutokusikiliza nyimbo, nude videos na stories za mapenzi kama utasikiliza hip-hop songs pia inspiration speaker.
Ukiuliza mitaa sometimes husema kopa uwe na madeni but purposely and wise. Thus it.
Issues za sex zinapunguza uwezo wakufikiri kama unafanya pasina kuelewa matrix inavyo tu-program wanacheza na dopamine sh*t!Wanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.
Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.
Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...
Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
Mkuu nimefatlia sana ndo nimekuja na conclusion hiyo aisee hii kitu ina mambo mengi hatujui aiseeeIssues za sex zinapunguza uwezo wakufikiri kama unafanya pasinakuelewa matrix inavyotuprogram juu ya dopamine sh*t!
Sawa tajiri ajayeWanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.
Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.
Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...
Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
Mh! Kwahiyo sex siyo salama sana, eti?Mkuu nimefatlia sana ndo nimekuja na conclusion hiyo aisee hii kitu ina mambo mengi hatujui aiseee
Hivi watu wangejua kidogo about orgasm's sizani kama wangekua wanashabikia haya mambo
Next billionaire 🙏🙏🙏🙏🙏Sawa tajiri ajaye
Sasa vipi wale wanaofanya kila siku🤔haha ni salama kwenu hivi unaona kurelease sperm milioni1+ kazi ndogo afu karibu kwa wiki mara 3,4 mpaka 7
Sio salama lengo la sex kiroho ni hatar zaidi ya unavozania...Mh! Kwahiyo sex siyo salama sana, eti?
Usinitishe mkuu, nisije nikaota ujueSio salama lengo la sex kiroho ni hatar zaidi ya unavozania...
Jarb kufanya hiyo ishu usiku sa tisa au sa nane na nusu mkiwa mmewasha mshumaa huku shuka yenu iwe nyeupe tuu