Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

May
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?

Mazoezi
 
Na ulivyoufany huo mdomo ni dhahr una libido , hata Kam sio mdomo wako, polee
 
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?

Usiruhusu kuupoteza urijali wako Kwa kigezo Cha sijui majukumu wala Kwa kitu chochote kila mtu anasiri yake ya mafanikio usjidanganye matajiri awalombi wanalomba sana tu.
 
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
Kutafuta njia mbadala wa ngono Kwa upande wa mwanaume uo ndio mwanzo wa tatizo unaweza kujikuta umeingia kwenye angle mbaya zaidi,
Kwanza kwanini ujizuie kusex mwanaume kamili?
Kama shida ni kipato unaweza jipa muda walau mara Moja Kwa wiki ukipiga unapiga kweli chukua demu mpe Hela one night stand imeisha hiyo mpaka wiki ijayo Tena siku kama hiyo hapo utatunza Hela autaishiwa mana mizinga inakuwa haipo.
 
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?

Piga pumbu dogo, k ni kwa ajili yako mtoto wa kiume shauri yako
IKo wazi kila siku nawambiaga wanawake tumeumbiwa sisi wanaume sasa unapo anza kutafuta njia mbadala wa ngono inakuwa sio sawa kabisa.
 
Tajiri mtarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…