Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Mkuu hilo.jambo ni seriously
..angalia wale wanaojiita mashabab wengi mkononi hawana kitu unakuta wanaunga unga tu.

Njo kwa kina moo uwezi skia ni wakamiaji yaani ndo ujue kuwa utoaji wa sperm na umaskini ni kama twenty na percentage
Stori za matajiri kama akina moo kwamba sio wakamiaji uwa tunajidanganya nani ambaye amemuona moo akiwa anapiga shoo???
Jibu ni hakuna hizi story tu za vijiweni.
 
kwa wanafalsafa inawezekana, pale ambapo unaitengeneza akili yako kuwa satisfied na activities nyingine nyingine apart from sex.

Mfano mimi nilisex mara ya kwanza at age 23 baada ya kumaliza chuo. Ila ndo nilikuwa nipo busy sana na activities nyingine.. umri wa teenage ilikuwa ni mtu wa kuchora sana, so ilikuwa naweza kaa 12 hours nachora, nikajikuta automatically imeniondoa kwenye kuwaza sex

At university, ilikuwa mtu wa kusoma sana library, nilikuwa nasoma vitabu tu vya aina yote.

Baada ya hapo ni mtu wa kulala sanaa.. au kufuatilia habari za kidunia. Yaani zilikuwa zanipa satisfaction kubwa mnoo.

Japo pamoja na yote kulikuwa na episodes za kutamani kusex, lakini zilikuwa zaidi zikinijia pindi ninavyokuwa stressed au kuna vitu vimeingilia akili yangu
Hauko mbali na Ufalme umepungukiwa kitu kimoja
 
Usiruhusu kuupoteza urijali wako Kwa kigezo Cha sijui majukumu wala Kwa kitu chochote kila mtu anasiri yake ya mafanikio usjidanganye matajiri awalombi wanalomba sana tu.
Hii kitu uwezi kuelewa kama huna critical thinking mkuu
 
Stori za matajiri kama akina moo kwamba sio wakamiaji uwa tunajidanganya nani ambaye amemuona moo akiwa anapiga shoo???
Jibu ni hakuna hizi story tu za vijiweni.
Sawa sema hv hv ni story za vijiweni ila ka ukijua kuwa pesa na sex ni inversely proportional
 
Back
Top Bottom