Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Njia nzuri ni mazoezi makali ya masaa mawili kwa siku. + Kuamua kiakili kwamba sitaki sex sasa. Ukimaliza siku 7 tu akili inajiset hautataka. Lakini usiwazie kabisa hicho kitu
 
Ni old method inayotumika kuepuka stress and depression kwa kuwa bize sana katika masaa mengi ya siku inatumika kwa mtu mwenye upweke au aliyefiwa na mtu wa karibu sana unajichanganya na watu sana.
anhaa shukrani mkuu
 
Njia nzuri ni mazoezi makali ya masaa mawili kwa siku. + Kuamua kiakili kwamba sitaki sex sasa. Ukimaliza siku 7 tu akili inajiset hautataka. Lakini usiwazie kabisa hicho kitu
sawa mkuu nitakuwa napiga cardio za kutosha
 
Wanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.

Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.

Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...

Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
Pole kaka
 
Nikiwaza tu kwa nini mimi sina kitu wakati kuna vijana wa umri wangu wanamiliki uchumi, hata hamu ya kuwaza mapenzi inapotea.
 
Nikiwaza tu kwa nini mimi sina kitu wakati kuna vijana wa umri wangu wanamiliki uchumi, hata hamu ya kuwaza mapenzi inapotea.
dah imagine una mtoto halafu anakuuliza baba magari haya yote lako halipo hata moja baba
 
Hii kitu uwezi kuelewa kama huna critical thinking mkuu
Mkuu Mimi nimeshatangulia kusema kama shida ni kipato nimeshatoa muongozo namuna ya kufanya ila kama hakuna sababu ya msingi kufanya hivyo nafuu kughaili tu, yaani wanawake walivyo wazuri hivyo halafu watamu.......!!
 
Nikiwaza tu kwa nini mimi sina kitu wakati kuna vijana wa umri wangu wanamiliki uchumi, hata hamu ya kuwaza mapenzi inapotea.
We are not the same Mimi hata sijari kwani kila kiumbe na njia zake umasikini na utajiri zote hali na zipo tu utajiri utaupata baadae ni jambo la muda tu don't be stressed because of poverty time will tell.
 
Screenshot_20250407-010516.png

Daah kumbe ni basic need
 
Back
Top Bottom