Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Watu tupo tofauti,nikifanya sex kesho yake nakuwa hovyo sana,nakuwa sina ile nguvu ya ndani,nikiacha nakuwa mwenye nguvu na kazi zangu nazifanya vizuri,mawazo yangu yanakuwa huru,sifungwi na mapenzi.
Inabidi uachane na sex sasa
 
Back
Top Bottom