Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Mkuu nimefatlia sana ndo nimekuja na conclusion hiyo aisee hii kitu ina mambo mengi hatujui aiseee

Hivi watu wangejua kidogo about orgasm's sizani kama wangekua wanashabikia haya mambo
Big thinker msichoke kuwaambia vijana ngono inadestroy kabsa maisha an,, 🤌🏾
 
Leo nitajitoa out nifanye masterdating
 
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
Njia mmbadara ni kutafuta pesa
 
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
Funga kula na kunywa, itakusaidia ki Afya na kupunguza matamanio.
 
Back
Top Bottom