Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Wanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.

Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.

Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...

Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
Nakuombea ukawe tajiri mwenye nguvu za kiume Ili uchakate vzr
 
Kulingana na tafiti na takwimu za majarida ya afya kama Cleveland clinic, Healthline, Men's Health n.k

95% wanaume, 78% chini ya miaka30 hupiga punyeto au matendo yanayoendana na ngono-binafsi(self-sex).
 
Mkuu shukrani sana una hekima utafika mbali JF inahitaji watu kama wewe.
~MAZOEZI
~MUZIKI(usio na vionjo vya ngono)
~KUWA BIZE NA KAZI
~MAJUKUMU(Mf. familia,madeni,ada,kodink)
Ila jana ndio nimeelewa maana ya HIP POP
 
Cha kawaida mkuu ila hakikiasha ujioni kwa macho mkuu
ok! Nitafanya hivyo after knowing nin kita happen. I will asking other knowledgeable hope nitajua zaidi, maybe i will come back with answers for those seeking.
 
ok! Nitafanya hivyo after knowing nin kita happen. I will asking other knowledgeable hope nitajua zaidi, maybe i will come back with answers for those seeking.
Kua makini ni mchezo wa kucheza na roho chafu an kama haujawa msafi zinakuingia
 
Things are there made to be used.... Ninyi mnaanza kutafuta mbadala wa kutovitumia.... Ndiyo maana majanga hatayaishi kwenye hii Dunia.....😄😄🙌🙌
 
Things are there made to be used.... Ninyi mnaanza kutafuta mbadala wa kutovitumia.... Ndiyo maana majanga hatayaishi kwenye hii Dunia.....😄😄🙌🙌
Hunapaswa kutumia vitu kwa hekima kama wafalme na sio kwa ulafi kama watumwa. Kwa walio enda jando na unyago wanajua hizo ni silaha za kukuangamiza mwenyewe.

Ndio pale utakuta mwenye ujuzi hutumia gharama kuweza kuwa na mahusiano na binti mrembo zaidi ili hamvune nguvu kisha anaachana naye ndio pale unasema binti mzuri lakini hadumu na mume au hana maisha mazuri. Kumbe watu washamvuna kitambo hana nguvu/nyota tena.
 
Funga! (Fast)

At least mara 2 kwa wiki.

Shiriki Ibada za pamoja na ibada binafsi.

Fanya mazoezi kiasi.

Fanya kazi kwa bidii na kwa akili zaidi.

Soma vitabu.

Ukiweza kumlisha, kumvisha, kuwa na gheto la kulala na nguvu za kujamiiana unazo, oa.
 
Back
Top Bottom