Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

Wanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.

Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.

Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...

Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
𝐊𝐰𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐜𝐨𝐦𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐧𝐝𝐨 𝐧𝐢𝐥𝐨𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚𝐢𝐬𝐮𝐛𝐢𝐫𝐢 𝐥𝐚𝐬𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐳𝐢 𝐮𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚
 
𝐈𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐲𝐨𝐮𝐭𝐮𝐛𝐞 𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝒔𝒆𝒙 𝒊𝒔 𝒂𝒏 𝒊𝒍𝒍𝒖𝒔𝒊𝒐𝒏 𝐮𝐭𝐚𝐣𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐮𝐤𝐮𝐫𝐮.
Soma kuhusu 𝐧𝐨 𝐟𝐚𝐩, 𝐬𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐫𝐞𝐭𝐞𝐧𝐭𝐢𝐨𝐧, 𝐬𝐞𝐱 𝐭𝐫𝐚𝐧𝐬𝐢𝐦𝐮𝐭𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐞𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲. utanikuja kunipa zawadi
 
Hunapaswa kutumia vitu kwa hekima kama wafalme na sio kwa ulafi kama watumwa. Kwa walio enda jando na unyago wanajua hizo ni silaha za kukuangamiza mwenyewe.

Ndio pale utakuta mwenye ujuzi hutumia gharama kuweza kuwa na mahusiano na binti mrembo zaidi ili hamvune nguvu kisha anaachana naye ndio pale unasema binti mzuri lakini hadumu na mume au hana maisha mazuri. Kumbe watu washamvuna kitambo hana nguvu/nyota tena.
Hunapaswa...... Hamvune....

Unapaswa.....amvune.....


Hizo mambo mnazoogopa kuzitumia,.. nakwambia hata hao wa zamani wangeogopa kutumia .... Nakwambia tusingezaliwa sisi.....
 
Sala ukiona akili inaenda ndivo sivyo sali sana soma vitabu vya dini
 
𝐊𝐰𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐜𝐨𝐦𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐧𝐝𝐨 𝐧𝐢𝐥𝐨𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚𝐢𝐬𝐮𝐛𝐢𝐫𝐢 𝐥𝐚𝐬𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐳𝐢 𝐮𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚
Ah ahhahaha pita pita zangu nimepata maana ya jina lako bana... Kumbe ni kipimo mkuu
 
Hunapaswa...... Hamvune....

Unapaswa.....amvune.....


Hizo mambo mnazoogopa kuzitumia,.. nakwambia hata hao wa zamani wangeogopa kutumia .... Nakwambia tusingezaliwa sisi.....
😀 dah hanapaswa
 
Hamu ya ngono inaletwa na homoni, kama ukijua kuzicontrol unaweza kupunguza hamu hiyo.
 
kwa wanafalsafa inawezekana, pale ambapo unaitengeneza akili yako kuwa satisfied na activities nyingine nyingine apart from sex.

Mfano mimi nilisex mara ya kwanza at age 23 baada ya kumaliza chuo. Ila ndo nilikuwa nipo busy sana na activities nyingine.. umri wa teenage ilikuwa ni mtu wa kuchora sana, so ilikuwa naweza kaa 12 hours nachora, nikajikuta automatically imeniondoa kwenye kuwaza sex

At university, ilikuwa mtu wa kusoma sana library, nilikuwa nasoma vitabu tu vya aina yote.

Baada ya hapo ni mtu wa kulala sanaa.. au kufuatilia habari za kidunia. Yaani zilikuwa zanipa satisfaction kubwa mnoo.

Japo pamoja na yote kulikuwa na episodes za kutamani kusex, lakini zilikuwa zaidi zikinijia pindi ninavyokuwa stressed au kuna vitu vimeingilia akili yangu
ukiwa huna hela kabisaa (zero financial liquidity), huwezi kuwa na hamu ya jigijigi pia huwezi kuwa na libido hata ukipewa kwa hisani
 
Nimerudi kwenye huu uzi baada ya manzi mmoja kuniambia kala nyanya chungu kupunguza nyege, nikamwambia nitazitengeneza mpya,
The art of making her wet.

Jibu ni hakuna njia za kuzuia nyege zaidi ya self control, maaan pamoja na kula sijui nyanya chungu zake, yalitokea yaliyotokea.
 
Nimerudi kwenye huu uzi baada ya manzi mmoja kuniambia kala nyanya chungu kupunguza nyege, nikamwambia nitazitengeneza mpya,
The art of making her wet.

Jibu ni hakuna njia za kuzuia nyege zaidi ya self control, maaan pamoja na kula sijui nyanya chungu zake, yalitokea yaliyotokea.
Wanasema ujikeep busy kwa chochote, kazi, mazoezi, hobby usikae bila shughuli yoyote.
 
Huu uzi unanisaidia sana ninapouhitaji mawaidha yake!
 
Meditation+ rituals. Pandisha nguvu/mafuta ya uzima to highest chakras kama penial gland then crown chakra. Wanawake automatic wanauwezo huo (aki Tune frequency tu) ila wanaume wanahitaji kujifunza hii.

Waweza tumia music pia kupandisha harmony na consciousness badala ya music ya slow sikiliza hiphop/ harakati au cheza ngoma za kiafrica au nyimbo zenye kuchezeka zisizo na frequency ya ngono. Tunaojua music ni uchawi (neno la wafia dini ila uhalisia ni nguvu za asili) pia.
 
Back
Top Bottom