Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Niaje wakuu
Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.
Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.
Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
Mi toka kitambo kaka nina kitu..Tajiri tajiri ...
Ila dogo siku hizi unaandika pwenti kinoma
Ahahahah kuna mdada humu kasema nisije badili jinani muda sahihi abadili jina Poor Brain halifai
Stori za matajiri kama akina moo kwamba sio wakamiaji uwa tunajidanganya nani ambaye amemuona moo akiwa anapiga shoo???Mkuu hilo.jambo ni seriously
..angalia wale wanaojiita mashabab wengi mkononi hawana kitu unakuta wanaunga unga tu.
Njo kwa kina moo uwezi skia ni wakamiaji yaani ndo ujue kuwa utoaji wa sperm na umaskini ni kama twenty na percentage
Hauko mbali na Ufalme umepungukiwa kitu kimojakwa wanafalsafa inawezekana, pale ambapo unaitengeneza akili yako kuwa satisfied na activities nyingine nyingine apart from sex.
Mfano mimi nilisex mara ya kwanza at age 23 baada ya kumaliza chuo. Ila ndo nilikuwa nipo busy sana na activities nyingine.. umri wa teenage ilikuwa ni mtu wa kuchora sana, so ilikuwa naweza kaa 12 hours nachora, nikajikuta automatically imeniondoa kwenye kuwaza sex
At university, ilikuwa mtu wa kusoma sana library, nilikuwa nasoma vitabu tu vya aina yote.
Baada ya hapo ni mtu wa kulala sanaa.. au kufuatilia habari za kidunia. Yaani zilikuwa zanipa satisfaction kubwa mnoo.
Japo pamoja na yote kulikuwa na episodes za kutamani kusex, lakini zilikuwa zaidi zikinijia pindi ninavyokuwa stressed au kuna vitu vimeingilia akili yangu
Hii kitu uwezi kuelewa kama huna critical thinking mkuuUsiruhusu kuupoteza urijali wako Kwa kigezo Cha sijui majukumu wala Kwa kitu chochote kila mtu anasiri yake ya mafanikio usjidanganye matajiri awalombi wanalomba sana tu.
Billionaire hapaTajiri mtarajiwa
Sawa sema hv hv ni story za vijiweni ila ka ukijua kuwa pesa na sex ni inversely proportionalStori za matajiri kama akina moo kwamba sio wakamiaji uwa tunajidanganya nani ambaye amemuona moo akiwa anapiga shoo???
Jibu ni hakuna hizi story tu za vijiweni.
Ndo maana yake. 😂😂😂Coca penguza ukali wa maneno.... Nina jitambua sasa utafanya nikose wachumba ndani humu...
Unataka useme mi kwa dorry ni doldo au
😅Billionaire hapa
Coca unazingua bana mi now sinaga hayo.maswala anNdo maana yake. 😂😂😂
Uongooo.Coca unazingua bana mi now sinaga hayo.maswala an
Now sina mambo mengi mimi...Uongooo.
UongooNow sina mambo mengi mimi...
Coca kuna watu wanafatilia hapa..Uongoo
Mmmh kipo hicho mtumishi??Hauko mbali na Ufalme umepungukiwa kitu kimoja
Kabisa japo ni ngumu ila yawezekanamadini tupu👿 ukifocus kwenye vitu vingine vinavohitaji akili zaidi sexual drive inapotea