Kuna nyimbo unaisikiliza na huikinai siku zote?

Kuna nyimbo unaisikiliza na huikinai siku zote?

Fatumaa =by super Motisha nikiwa kwenye road trip za kukimbiza maisha lazima nitausikiliza sana.Mume wangu Jerry =sikinde ngoma ya ukae. Nuru=Mtoni Lutheran church;hizi nyimbo ninaweza kusikiliza hizo tu kutoka lingusenguse hadi Mtukula!
 
Salaam kwenu wana MUNGU,

Kuna hii nyimbo ya gospel inaitwa maneno mazuri yakwake japhet wa zabron singers ft Ambwene Mwasongwe, hainichoshi jamani.

Naisikiliza tena na tena, tena na tena, nyimbo inaujumbe mahsusi hii.
Mimi ni wa juu, sitabaki kama nilivyo = Joel Lwaga.
Naona kama ameimba kwa sababu yangu.
Mimi ni shahidi🙏🏽🙏🏽
 
Way back
Screenshot_20230201-201805.jpg
Screenshot_20230201-202344.jpg


Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom