Kuna nyimbo unaisikiliza na huikinai siku zote?

Kuna nyimbo unaisikiliza na huikinai siku zote?

hizo nikwaya au nyimbo?by the way ukiristo niusanii tuu
Tamaduni za waarabu na wazungu zinawafanya mnakuwa machizi btw kama wewe ni muarabu kwa asili una haki ya kupigania Imani yako ila kama ni mbantu basi wewe ni chizi kama machizi wengine ambao wamelewa tamaduni za watu wengine
 
Salaam kwenu wana MUNGU,

Kuna hii nyimbo ya gospel inaitwa maneno mazuri yakwake japhet wa zabron singers ft Ambwene Mwasongwe, hainichoshi jamani.

Naisikiliza tena na tena, tena na tena, nyimbo inaujumbe mahsusi hii.
Ukimaliza pata kitu cha upako toka kwa Sidewalk "To live is Christ"
 
kuna ile nyimbo jmni siikumbuki jina ila kuna baadhi ya mistari wanaimba umentoaaaaa mbaliiii chini chiniiiiii daaah una balaa aseeee
 
Back
Top Bottom