dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Tamaduni za waarabu na wazungu zinawafanya mnakuwa machizi btw kama wewe ni muarabu kwa asili una haki ya kupigania Imani yako ila kama ni mbantu basi wewe ni chizi kama machizi wengine ambao wamelewa tamaduni za watu wenginehizo nikwaya au nyimbo?by the way ukiristo niusanii tuu
Ukimaliza pata kitu cha upako toka kwa Sidewalk "To live is Christ"Salaam kwenu wana MUNGU,
Kuna hii nyimbo ya gospel inaitwa maneno mazuri yakwake japhet wa zabron singers ft Ambwene Mwasongwe, hainichoshi jamani.
Naisikiliza tena na tena, tena na tena, nyimbo inaujumbe mahsusi hii.