Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

Inahusika na Nini Hy ofc ? Kuna ofc zingine kingereza sio deal na hela zinaingia
 
Kwani waliajiriwakuongea kiingereza? Nenda arabuni au China uone.
 
We mkuda tu. What is English.after all
 
Kingereza kama ujaanza kuongea ukiwa mdogo cha ukubwani ni copy,na kama kila siku kazi yako kampeni za CCM sijui madiwani na majungu ya Halmashauri kinajifia tu kama Mkurugenzi.
 
Bado natafuta shida ipo wapi hapo

Mbona sisi wanakuja wa France kibao hapa hawajui ata good morning

Na tunakaa nao full kutumia translator na mambo yanakaa sawa

Lugha sio intelligence bro
 
Kazi kweli kweli.Hivi mwanafunzi ndiye anachagua lugha gani itumike kwenye masomo(unavyosema research ziwe za kisukuma unadhani ni learner ndiye ana chagua which language should be used,ungeuliza hili jambo kwa wizara husika ningekuona una hoja kuliko kutupia lawama graduate)

Mwenzetu wewe English itakuwa imekaa vizuri,sasa naomba kuwatua graduate mzigo.Fanya hivi andika comment yako hii uliondika mwanzo kwa kizungu ikiwa haina makosa mimi ntakubali graduate wanazingua
 
Inaeleweka kwao, kwa sababu lugha zao zimejitosheleza kuanzia mtaani hadi kwenye taaluma. Leo hii jaribu kumfundisha mtoto wako somo la kemia au fizikia kwa kiswahili ndio utajua kama kiswahili kinajitosheleza au vipi.
Warusi na Wachina hawatumii Kiingereza . Je hawajui Kemia na Fizikia?
JF NI media ya kuelimishana. Kujua kiingereza ni vizuri.
Kuna sehemu bila kiingereza utapata shida. But English si KILa kitu.
Mfano. Wageni wako wangekuwa Wachina au Warusi au Taliano nk. MANTIKI ya kiingereza ingekuwa wapi?
 
Bado natafuta shida ipo wapi hapo

Mbona sisi wanakuja wa France kibao hapa hawajui ata good morning

Na tunakaa nao full kutumia translator na mambo yanakaa sawa

Lugha sio intelligence bro
 
Mbona kawaida tu, baada ya yote kiingereza sio kipimo cha kuwa na akili nyingi. Ni kimatumbi cha wazungu tu.

Kama mpaka wana ofisi ya hadhi ya kutembelewa basi ni wazi kiingereza hakina umuhimu kwao.
Sasa language intelligence yao,huoni ni changamoto?
Walifanyaje interview?
 
Bado natafuta shida ipo wapi hapo

Mbona sisi wanakuja wa France kibao hapa hawajui ata good morning

Na tunakaa nao full kutumia translator na mambo yanakaa sawa

Lugha sio intelligence bro
Tofautisha wafarqnsa na sisi mkuu, binafsi naona tunatetea vitu vya ajabu sana. Hao wafaransa wanasoma lugha yao toka utotoni, hawana sababu ya kujua a wala b ya kiingereza.

Wewe na mimi tunatumia iingereza kama lugha ya mawasiliano mtaani na taasisi za elimu. Unalinganishaje vitu viwili tofauti?
 
Wewe ndiye Bill Lugano ajaye ama tumtazamie mwingine?

Una American accent ya jimbo gani, nataka nikuone ukiongea kwa akili yangu.
 
Wanajua fizikia na kemia vizuri, sababu kubwa nimekupa hapo...lugha zao zinajitosheleza. Je, kiswahili kinajitosheleza kufundishia na kuwasiliana?
 
Swala la Mwafrika kuzungumza au kujuwa kingereza sio sheria ni swala binafsi.

Kama hujanielewa panga safari utembee nchi za ulaya, ukifika ofisi au biashara za watu weupe ongea kiswahili alafu usubiri mrejesho.. kwanza NO ONE WILL CARE ABOUT YOU!!

jivunie kuwa Mwafrika penda ulichonacho na ujivunie ondokana na utumwa wa fikra kama wanataka kueleweshwa jambo au lugha yoyote geuza hiyo kuwa fursa kwako au kwa wenzako.
 
Accent ya wamarekani ni mbays sana.Huwa naangalia lips zao wakiongea ndo naelewa wanaongea nini.Siku moja nikawachana kuwa mnaongea accent mbaya huku kwetu kuielewa ndo kidogo wakabadilika.Usiwachek hao unaofhani hawajui,shida ni accent ya hao watu.
 
Mbona hiyo n kawaida wao ndio walitakiwa wajue kiswahili km wanakuja kujifunza kwetu mbona sisi tunapoenda kwao tunaanza kujifunza lugha yao kwanza
 
Kaka hata mimi nashangaa sana ulivyo andika hapo mkurugenzi na meneja wote hawaelewi accent na wamekuomba msaada... hii inashangaza sana kwamba hawaelewi au mlienda bila appointment na wadau na shughuli zao wakataka kupuuza tu ujio wenu usio na faida kwao...

Tunakubali wapo viongozi ambao hawapo fluent kwenye kiingereza ila ikawa top management wote wapo hivo ni hatari sana kupata growth kwenye ofisi kama hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…