Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
WORK
WORK IS THE MEASURE OF HUMANITYElimu aina mwisho.warudi shule pia.
KAZI ni kipimo cha utu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WORK IS THE MEASURE OF HUMANITYElimu aina mwisho.warudi shule pia.
KAZI ni kipimo cha utu
Umewasaidia lakini?Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Mwisho wa siku wewe umeajiriwa na wasiojua kingereza wana office yao mpaka mnapeleka wageni wenu.Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Sasa ww kyagata kwa michango yako himu jamvini ndio wakucheka wenzanko kwa kutuelewa kinge kweli?!Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Yaani wewe umesoma lakini bado una kaujinga fulani kwenye akili yako.Sio kweli.haiwezekani uwe mkurugenzi halafu lugha nyepesi kama kiingereza ikupige chenga.
Okay ma'niggaTexas
alitumia kupata maarifa sio kuwasilianaLakini huko uchina hawatumii kingereza popote, sio mtaani wala mashuleni/vyuoni. Sio ajabu kwa mchina, mjerumani, mrusi..nk ila ni ajabu kwa mtanzania kwa sababu ni lugha ameitumia kupata maarifa.
bro hivi unajua hao wanaowasiliana kwa kingereza huwa wanafeli hilo somo??? wewe na wenzio mnachoshindwa kujua ni kwamba kuna kingereza cha kusomea (cha darasani) na kingereza cha kuwasiliana ni vitu viwili tofautiNyie mambumbumbu acheni kujitetea.
Uchina lugha rasmi ni kichina, lugha ya kusomea darasani ni Kichina.
Tanzania lugha ya kusomea ni KIINGEREZA.
Mkurugenzi minimum education level ni Master's.
Master's kuipata lazima usote darasani miaka kumi na ushehe ukisoma kwa KIINGEREZA, kwanini aogope kuongea kiingereza?
Elimu duni za kuungaunga.
Taja uoneNaomba nisiitaje kwa sababu za kiusalama.
Mwaka ganiNakumbuka niliachwa na mzungu sababu sijui kiingereza😭😭😭🙌
Mwaka jana 😢😢Mwaka gani
Nilichokuja kubaini kwenye swala la lugha tusijilinganishe na mataifa kama China, Russia hawa watu wanatumia lugha zao mashuleni, Sisi watanzania tunatumia kiingereza sekondari na chuo so miaka yote hyo haiwezekan usiongee hyo lughaunashanga mkurugenzi wa ofisi wakati rais wa China taifa kubwa duniani katika kila kitu na yeye pia hajui kingereza
Acha ushamba wewe...Ndio Maana Wazungu wanawaona mazumbukuku....China, Urusi ushasikia wana shobo na kingereza hao wazungu wangetakiwa waongee kiswahiliHii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Ongezea na kikingaKiingereza ni lugha tu kama lugha zingine mfano Kimatumbi, kisukuma kiswahili n.k