Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

Umewasaidia lakini?
 
Na kiingereza chako umeajiriwa unalipwa na asiyejua kiingereza. Ujinga
 
Mwisho wa siku wewe umeajiriwa na wasiojua kingereza wana office yao mpaka mnapeleka wageni wenu.
 
Mbona kule UN viongozi wa mataifa makubwa kama China na Russia hawaongei kiingereza? Ni viongozi wetu tu ndo wakifika kule wanalazimika kuongea inglishi kwasababu za kimakusudi kutokuwa na wakalimani wa kiswahili.
Kataa utumwa mwanangu!
 

Attachments

  • images - 2025-03-12T224317.212.jpeg
    77.3 KB · Views: 1
Sasa ww kyagata kwa michango yako himu jamvini ndio wakucheka wenzanko kwa kutuelewa kinge kweli?!
 
Sio kweli.haiwezekani uwe mkurugenzi halafu lugha nyepesi kama kiingereza ikupige chenga.
Yaani wewe umesoma lakini bado una kaujinga fulani kwenye akili yako.

Kila mtu kwenye soma yake ana unique historical background. Wakati kwako kiingereza ni kirahisi mwingine kijapani ndiyo rahisi kwake.

Cha mwisho, punguza wivu yaani unaji-proud na kiingereza lakini umeajiriwa kama KO (Kazi za Ovyovyo) hapo ofisini. Wenzako ni wakurugenzi wewe endelea kunusa makalio ya wazungu na kubeba mafaili. Period!


Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Lakini huko uchina hawatumii kingereza popote, sio mtaani wala mashuleni/vyuoni. Sio ajabu kwa mchina, mjerumani, mrusi..nk ila ni ajabu kwa mtanzania kwa sababu ni lugha ameitumia kupata maarifa.
alitumia kupata maarifa sio kuwasiliana
 
bro hivi unajua hao wanaowasiliana kwa kingereza huwa wanafeli hilo somo??? wewe na wenzio mnachoshindwa kujua ni kwamba kuna kingereza cha kusomea (cha darasani) na kingereza cha kuwasiliana ni vitu viwili tofauti

kiswahili unaongea kila siku lakini ukiambiwa uelezee kitenzi shirikishi ni nini au rejesta za hotelini ni zipi hujui

kutokujua english na ukiwa umesoma sio umbumbumbu
 
unashanga mkurugenzi wa ofisi wakati rais wa China taifa kubwa duniani katika kila kitu na yeye pia hajui kingereza
Nilichokuja kubaini kwenye swala la lugha tusijilinganishe na mataifa kama China, Russia hawa watu wanatumia lugha zao mashuleni, Sisi watanzania tunatumia kiingereza sekondari na chuo so miaka yote hyo haiwezekan usiongee hyo lugha
 
Acha ushamba wewe...Ndio Maana Wazungu wanawaona mazumbukuku....China, Urusi ushasikia wana shobo na kingereza hao wazungu wangetakiwa waongee kiswahili
 
Ingependeza kama huu uzi ungeuporomosha kwa umombo wa kimarekani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…