Shukuru Mungu umeliona hili mkuu ni funzo kupitia hilo. Kuna wengine tupo nyumbani tuLeo bana nilikua nataka bidhaa flani ila kwa bei ya jumla,so jamaa angu flani akaniunganisha na hao sijui ni wahindi au wachina wale nikaenda kwenye hiyo office kupata hiyo bidhaa.
Kwanza getini ile unaingia tu mlinzi anakuomba buku la maji.
Ukiingia ndani unakuta staff muda wa lunch wamelala chini ya miembe huku wengine wanatungua maembe kwa mawe,wengine muda wa lunch wanakula mihogo na energy drinks.
Dah,nimesikitika sana kwa kweli.
Kibaruani kwetu ukila mchana unaitwa Boss unaweza kurogwa kabisaLeo bana nilikua nataka bidhaa flani ila kwa bei ya jumla,so jamaa angu flani akaniunganisha na hao sijui ni wahindi au wachina wale nikaenda kwenye hiyo office kupata hiyo bidhaa.
Kwanza getini ile unaingia tu mlinzi anakuomba buku la maji.
Ukiingia ndani unakuta staff muda wa lunch wamelala chini ya miembe huku wengine wanatungua maembe kwa mawe,wengine muda wa lunch wanakula mihogo na energy drinks.
Dah,nimesikitika sana kwa kweli.
Inawezekana suala la mishahara midogo inasababishwa na gharama za uzalishaji zipo juu na bei ya bidhaa ipo chini sana ili kushindana na bei ya bidhaa nyingine.Waache Wachina/Wahindi waendelee kuwanyonya ndugu zetu
Serikali si imelala
Kwa mujibu wa maelekezo ya Serikali, kima cha Chini cha mshahara kilipaswa kuwa 310,000 lakini wapo wafanyakazi kwenye hivyo viwanda vya Wahindi/Wachina wanalipwa 150,000 Kwa Mwezi, hapo nauli ya mfanyakazi
Ukija wafanyakazi wa ndani, nao wanalipwa elfu 30 hadi 50
Kwa kweli hali mbaya mno
Inawezekana ikawa hiyo ndiyo sababu, lakini ni vyema uwe na watumishi wachache wafanisi ambao unaweza kuwalipa vizuriInawezekana suala la mishahara midogo inasababishwa na gharama za uzalishaji zipo juu na bei ya bidhaa ipo chini sana ili kushindana na bei ya bidhaa nyingine.
Oya kaka ni noma hao wachina kama ni cheap labor kwa TZ imefana mno sijui kama KENYA upooWaache Wachina/Wahindi waendelee kuwanyonya ndugu zetu
Serikali si imelala
Kwa mujibu wa maelekezo ya Serikali, kima cha Chini cha mshahara kilipaswa kuwa 310,000 lakini wapo wafanyakazi kwenye hivyo viwanda vya Wahindi/Wachina wanalipwa 150,000 Kwa Mwezi, hapo nauli ya mfanyakazi
Ukija wafanyakazi wa ndani, nao wanalipwa elfu 30 hadi 50
Kwa kweli hali mbaya mno
Waache Wachina/Wahindi waendelee kuwanyonya ndugu zetu
Serikali si imelala
Kwa mujibu wa maelekezo ya Serikali, kima cha Chini cha mshahara kilipaswa kuwa 310,000 lakini wapo wafanyakazi kwenye hivyo viwanda vya Wahindi/Wachina wanalipwa 150,000 Kwa Mwezi, hapo nauli ya mfanyakazi
Ukija wafanyakazi wa ndani, nao wanalipwa elfu 30 hadi 50
Kwa kweli hali mbaya mno
Tatizo la Tanzania, pamoja na kwamba tunaongozwa Kwa Sheria, Rushwa imechukua Utu wetu kabisaOya kaka ni noma hao wachina kama ni cheap labor kwa TZ imefana mno sijui kama KENYA upoo
Watu wana maisha Duni, hivyo wanajaribu kuvumilia tuKwanini hao wafanyakazi wasikatae mshahara ambao haulingani na kima cha chini kama ilivyoelekezwa na serikali???
Daaah hilo ni kweli kabisa wakifungiwa bahasha ndio kwisha kabisa Mungu anipe nafasi nije niache legacy kwa wanyongeTatizo la Tanzania, pamoja na kwamba tunaongozwa Kwa Sheria, Rushwa imechukua Utu wetu kabisa
Unaweza kukuta hao maafisa wa Serikali wakienda kwenye hivyo viwanda wanapewa Rushwa ya milioni 2 mbili wanasahau kuwatetea Watanzania wenzetu
Unafaa kuwa TeethLeo bana nilikua nataka bidhaa flani ila kwa bei ya jumla,so jamaa angu flani akaniunganisha na hao sijui ni wahindi au wachina wale nikaenda kwenye hiyo office kupata hiyo bidhaa.
Kwanza getini ile unaingia tu mlinzi anakuomba buku la maji.
Ukiingia ndani unakuta staff muda wa lunch wamelala chini ya miembe huku wengine wanatungua maembe kwa mawe,wengine muda wa lunch wanakula mihogo na energy drinks.
Dah,nimesikitika sana kwa kweli.
Mungu akusaidie Mkuu uje uwe tegemeo Kwa Watanzania wengi wanyongeDaaah hilo ni kweli kabisa wakifungiwa bahasha ndio kwisha kabisa Mungu anipe nafasi nije niache legacy kwa wanyonge