Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

Niliposema kukata funding, nilimaanisha kila mahali hadi huko zinapotoka.., ugonjwa utayeyuka kama hewa. Leo hii toa funding ya kupambana na Corona hata bilioni 10 tu, uone ugonjwa utakavyolipuka ghafla from nowhere..
 
It's alarming.

Nikikumbuka ugonjwa ulivyokuwa umeingia miaka hiyo.

1997 kuna mzee mmoja alienda mpaka Uganda kutafuta mitishamba.

Ujio wa dawa ndio umeondoa hofu kwa hao watoto hadi wauone huo ugonjwa kama mafua tu ila wangebahatika kuwaona wahanga wa mwanzo hakika wangenyooka.
 
Hizo takwimu sio sawa ni zaidi ya hapo labda mara 4, nikiangalia kuanzia kazini , mtaani karibu kila nyumba kuna mwathirika wa ukimwi, hasa wenye umri kuanzia 35 mpaka 60,
ni kweli waathirika ni wengi kuliko hao wanaoripotiwa. huu ugonjwa umeshageuka kuwa mradi wa watu fulani. usiri umekuwa mkubwa kila kitu kinafichwa hata data tu. labda ikifika siku watu wakiambiwa wanunue dawa wenyewe ndo ukweli utajulikana kwa harambee zitakazojitokeza.
 
Gen Z hao aka plate number E ukimeet demands zao kukutunuku utelezi siyo habari... Ilimradi ume-meet demands zao and kama wako kwenye mfumo wa elimu at 20 years mpaka hiyo 23 -24 wako chuo so wako tegemezi hawana kazi wako chuo au ndo wamemaliza, wanataka simu nzuri wavae vizuri, waweke expensive wigs, waende kula na kulala hoteli nzuri, waende club wanywe ma Hennessy wa-snap waweke kwenye mitandao..so kuwaopoa ni very very easy kama mfuko uko vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…