Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
sio mitandao ya simu, ata bank moto ule ule.Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Mkadhani ni GSM tu wanawachangia ccm?!Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Ni ngumu sanaWatanzania tufikie sasa tupunguze matumizi ya frdha mtandao
Akili za muafrika ndo zilivyo. 🙂 🙂Na mwezi wa 10 mtapanga foleni kuanzia asbhi mpaka jioni kuwachagua CCM.
siku hizi mara nyingi nafanya cash transaction. Labda iwe emergency. Au natoa cash ATM, natuma kwa kutumia wakala. Hawa ni waizi tu.Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Unatumia MB kuangalia Giggy Money akisutana na Diva, acha wakulimeNa Bado kwenye mb sasa huko ndio wanakwapua tu
Hio ndogo ushawahi gusa miamala bank kwa bank? Au bank kwenda mtandao wa simu?Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Wamechangia halambee ya ccm mnafikili pesa ina rudimentary?Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....