KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Jitahidi uwe na lipa namba mkuu, ukiwa na lipa namba ukitoa Hela chini ya 200k Kwa siku hakuna makato na hata kumtumia mtu ni bure, ikizidi 200k makato 500 tu!
 
Watanzania tufikie sasa tupunguze matumizi ya frdha mtandao
Dunia ya sasa ndivyo inavyotakiwa ili mambo yaende haraka na kuepuka risks ya kutembea na cash kubwa. Tatizo ni serikali kushindwa kuliona hili na kutafuta new sources of revenues. Juzi nilikuwa kijiji fulani nikashuhudia mtafaruku mkubwa kwenye guest niliyofikia ambapo jamaa mmoja alikuwa anadai pesa yake ya kununulia mazao sh milioni 10 imeibiwa, aliweka chini ya godoro akaenda kulewa akaja na demu.Asubuhi pombe imeisha ndiyo akili inakumbuka pesa.
 
Back
Top Bottom