kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Huenda pesa ya "uchaguzi "
Kabla ya kuwalaumu TRA wawakilishi wa wananchi wanasemaje kuhusu haya makato? Ukweli ni kwamba hakuna nia wala mipango ya kufanya maisha yawe rahisi.Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Halafu kuna makato ya kwenye lipa namba, hakuna dalili ya kuwa cashless, bora kulipa kawaida.Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Wawakilishi walijitungia hiyo sheria ya fedha au walipelekewa na heartless executives?Kabla ya kuwalaumu TRA wawakilishi wa wananchi wanasemaje kuhusu haya makato? Ukweli ni kwamba hakuna nia wala mipango ya kufanya maisha yawe rahisi.
Siku hizi ukienda benki hakikisha unatoa pesa mara moja, ATM ziogope msizoeane.Mkuu s
sio mitandao ya simu, ata bank moto ule ule.
Nimekueleza ,kafanye miamala .Weka facts zako hapa
Nje gani hiyo? Kwanza wakigoma ndio vizuri deni lisiongezeke na mlipe KodiZa ndani watu wa nje wameaanza kugoma kutukopesha fedha zako ndio maana sasaivi ni matangazo ya TRA kila kukicha tozo zitarudi kama kawaida dadek mpeni nchi tena babake
Unakurupuka mnoo kujibu.Nimekueleza ,kafanye miamala .
Hivi uzushi huwananufaika nao au?
Elfu 6 na hapo unalazimishwa kuchukua kadi mpya ya bank wakati uliyonayo inaisha muda wake mika mitatu ijayo.Mkuu s
sio mitandao ya simu, ata bank moto ule ule.
Pesa ipi...! Mbona Bajeti ilishatengwa mapema na ikaainishwa wapi pesa itapatikana?Huenda pesa ya "uchaguzi "
Mimi hapana nitaanza sherehe 28 sitaki kusikia mambo ya kupiga kura keasabu tayari zishapigwaNa mwezi wa 10 mtapanga foleni kuanzia asbhi mpaka jioni kuwachagua CCM.
Wale wale tuHamia SELCOM na AZAMPESA dawa ya matatizo yako
Inasikitisha sana
Yaani serikali ya CCM wanawatafuta raia kwa kila engo ili waliamshe lakini wapi [emoji847]!.
Tunabaki kulalamika tuuu mtandaoni kesho tunasahau na maisha yanaendelea ahahahaaaa, safari ya kujikomboa inabaki kuwa ngumu sana na kizazi kitakacholeta reform itakuwa siyo hiki.
CCM endeleeni kutumega, mnatuamsha kwa kila njia na ni saa 12:30 asbh sisi ndiyo tunavuta shuka.