KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wanakula pakubwa wanatuonea raia ufisadi bado upo wanatupiga hongo tu et makato yatapungua 😠
 
Unakurupuka mnoo kujibu.
Cheki facts zako kwanza kabla haujaja kuadhirika peupe.

Hiyo transaction kwenye first post ni yangu. Unatuaminisha hiyo ipo fair kabisaa?

Unajua fedha tunayoshika inakatwa kodi mara ngapi? Kiwango cha kodi na matozo yenu mnayoyashabikia ni makubwa.

Kwanza tujue, wewe mwenzetu unalipa kodi?
Cha muhimu umelipa Kodi mengine hayana msingi.
 
Cha muhimu umelipa Kodi mengine hayana msingi.
Serikali inayotoza kodi halali hakika hata ikija kwetu kutuomba tuichangie tunafanya hivyo kwa moyo mweupee.

Lakini mnatukata kodi huku kinyemela mnaweka makato au tozo za kutuumiza ili kulipia ufisadi wenu ni dhahiri hamna tofauti na wale wanaovunja benki na kuiba.

Halafu kwa kiburi unasema hizi hoja ni mengine yasiyo na msingi.... YANA MWISHO HAYA
 
Chadema ni kama hamuaminiki Kwa uzushi Kwa sababu Toka July 2025 Serikali imeshusha makato haya ya kwako umeyatoa wapi?

Zamani ukitoa Laki lazima buku 5 ibakie lini Kwa Sasa ni chini ya buku 3

Kwenye ATM ndio kabisaa makato ni kiduchu.

Mwisho Serikali imeshusha VAT kutoka 18% to 16% Kwa miamala ya simu Sasa wewe huu utapeli umeutoa wapi?
Tungekua karibu ningekuzabua bao la uso 😡
 
Serikali inayotoza kodi halali hakika hata ikija kwetu kutuomba tuichangie tunafanya hivyo kwa moyo mweupee.

Lakini mnatukata kodi huku kinyemela mnaweka makato au tozo za kutuumiza ili kulipia ufisadi wenu ni dhahiri hamna tofauti na wale wanaovunja benki na kuiba.

Halafu kwa kiburi unasema hizi hoja ni mengine yasiyo na msingi.... YANA MWISHO HAYA
Ufisadi upi unaolipiwa ? Hakuna anaetoa Kodi kihalali hapa Duniani wewe ndio wa kwanza 😆😆

Hata Trump na Biden Wana kesi za kukwepa Kodi.

Matumizi ya Kodi

View: https://www.instagram.com/p/DNVD_gTsmb-/?igsh=MTE0aWF4bW55dTV6Mw==
 
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....


Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?

Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Tumia akili makato ni ya kampuni, TRA mali yao hapo ni VAT tu ambayo ni 329 kwenye muamala wako
 
Hio ndogo ushawahi gusa miamala bank kwa bank? Au bank kwenda mtandao wa simu?
Jana nimetuma 150,000 kutoka mtandao wa simu kwenda bank nimekatwa 3,500...binafsi nimeona 3,500 sio makato makubwa

Leo nimetoa 250,000 kwa mtandao wa simu nimekatwa 5,921 nayo naona ni very reasonable 🙂
 
Back
Top Bottom